Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI UFANYIKE KWA MISINGI YA HAKI NA USAWA- BALOZI SEIF

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.Picha na –OMPR – ZNZ.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba kauli za baadhi ya wanasiasa wakati wanapokuwa majukwaani za kupalilia cheche  za kutaka kuibua vurugu zisiwashitue Wananchi  kwa vile Serikali itaendelea kuwa makini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa

Nigerian+President+Goodluck+JonathanNa Wandishi Wetu, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa  kuepuka machafuko  yasitokee nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea  kuwapo  uwazi, haki na kufuata  misingi ya utawala bora.

Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...

 

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

10 years ago

Mwananchi

KKKT yataka haki, usawa Uchaguzi Mkuu 2015

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetaka mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu kuendeshwa kwa haki na usawa, huku likisisitiza elimu ya uraia itakayowawezesha wananchi kufanya uamuzi sahihi Oktoba 25.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanbzibar Balozi Seif akijibu maswali aliyoulizwa na Wanahabari wa Shirika la Magazeti ya Serikali la Zanzibar leo Hafsa Golo aliyepo Kati kati na Tatu Makame wa kwanza kushoto. Ripota wa Shirika la Utangazaji Tanzania {TBC } Marine Hassan akiporomosha maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mahojiano yao kuhusu maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.
                                 ...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Iddi: Uchaguzi utakuwa huru, haki

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amewahakikishia wananchi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika katika mazingira ya amani na utulivu na kuwataka wazazi kuwadhibiti vijana wao kutojiingiza katika vurugu.

 

9 years ago

Habarileo

Uchaguzi Zanzibar upo-Balozi Seif

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewatoa hofu wananchi na kusema uchaguzi wa marudio upo kwa sababu ule wa Oktoba 25 mwaka 2015 ulifutwa matokeo yake na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ambayo ndiyo taasisi halali inayoratibu kazi za uchaguzi.

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mdogo wa India Afika Ofisini kwa Balozi Seif Kujitambulisha.

Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani:uchaguzi ufanyike haraka A.kati

Marekani imetoa wito kwa mamlaka nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati kufanya uchaguzi haraka

 

11 years ago

Mwananchi

‘Uchaguzi Serikali za Mitaa ufanyike mwakani’

Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Jukwaa la Katiba Tanzania imetoa mapendekezo kwa Serikali kuahirisha uchaguzi wa Serikali za mitaa ili ufanyike pamoja na uchaguzi mkuu mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani