Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nakwenda kumuongezea nguvu Pluijm- Mwambusi

Kocha Juma Mwambusi amefunguka kubainisha kwamba anakwenda Yanga kusaidiana na Hans Pluijm huku akimpandisha ‘cheo’ aliyekuwa msaidizi wake, Abdul Mingange kuwa ana sifa za kuwa kocha mkuu wa Mbeya City.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Pluijm: Nakwenda kumleta mrithi wa Msuva

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Mohammed Mdose,Dar es Salaam
KUFUATIA mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva kubakia mwaka mmoja huku akionyesha hana nia ya kutaka kuendelea kukaa kwenye klabu hiyo, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amesema hatapenda kuona uongozi wa Yanga ukimlazimisha kiungo huyo kusaini mkataba mpya. Pluijm amesema kama mchezaji huyo atataka kuondoka, haoni haja ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema akishindwa kupata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa awamu ya tano ataenda kijijini kwake kuchunga ng’ombe.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha mchezaji …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Antalyaspor umempata majukumu mapya Samuel Eto’o ya kuwa kocha wa muda wa kikosi hiko. Stori kutoka mtandao wa cameroononline.com unaeleza kuwa Eto’o atakuwa kocha mchezaji wa […]

The post Hii ndio sababu ya Antalyaspor kumuongezea majukumu Samuel Eto’o ya kuwa kocha...

 

9 years ago

Vijimambo

Haujatimia...Je Nguvu za Binadamu zinaweza Kuzuia Nguvu za Mungu...


Naleta kwenu msaswali machache ili mpate kunisaidia. Katika tabiri nyingi zilizopata kutabiriwa ndani ya vitabu vitakatifu kama BIBLIA na vinginevyo zimekuwa zikitimia pasipi shaka.Siku za nyuma kidogo huyu nabii anaye itwa TB Joshua Kutoka Nigeria alimtabiria mheshikiwa Edward kuwa ndiye raisi ajaye sasa kila mtu anajua kilicho tokea ni kitugani muda mfupi ulio pita.
SASA NAULIZA HIVI, JE BINADAMU ANAYO MAMLAKA AU NGUVU YOYOTE KATIKA KUBATILISHA KILE KINACHO TAJWA KUWA NI UTABIRI AMBAO...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tuone kweli kama ni nguvu ya soda au nguvu ya jua

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Raia Mwema

Kama chama changu kinataka kushinda, kishinde kwa nguvu ya hoja si kwa nguvu ya dola

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mwananchi

Mwambusi amlilia Nyoso

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumlima rungu la miaka miwili nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kutokana na kitendo cha utomvu wa nidhamu, kocha wa timu hiyo Juma Mwambusi amesema hana la kusema kufuatia adhabu aliyopewa mchezaji wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi alalamikia waamuzi

Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mdudu mbaya anayefanya kiwango cha soka nchini kishindwe kukua ni waamuzi wasiokuwa wadilifu katika uchezeshaji wao hasa kwa timu ndogo zinazoibuka na kuonyesha ushindani mkubwa dhidi ya timu kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani