Pluijm: Nakwenda kumleta mrithi wa Msuva
![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7Nag29oz903JM-USQ3-tiEeDSn4Cq3Ww9rb1*YSF0e8bGPtscV-XFRH3O6LIz*SWZmWMQjNkah5veL8fPLx5U9gwl/ytyty.jpg)
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Mohammed Mdose,Dar es Salaam KUFUATIA mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva kubakia mwaka mmoja huku akionyesha hana nia ya kutaka kuendelea kukaa kwenye klabu hiyo, kocha mkuu wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amesema hatapenda kuona uongozi wa Yanga ukimlazimisha kiungo huyo kusaini mkataba mpya. Pluijm amesema kama mchezaji huyo atataka kuondoka, haoni haja ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Nakwenda kumuongezea nguvu Pluijm- Mwambusi
10 years ago
Mtanzania16 May
Pluijm ambakisha Msuva Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Tamasha la 17 ZIFF kumleta Lupita Nyong’o
DUNIA inatarajia kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria ndani ya viunga vya Ngome Kongwe ndani Mji Mkongwe wa Stone Town, Unguja, kwa watu wa mataifa yote watakapoungana na kushuhudia ‘Hatma...
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Lowassa: Nikishindwa urais nakwenda kuchunga ng’ombe
9 years ago
Bongo501 Dec
Hermy B na Pancho kumleta Mwana FA na ‘Asanteni Kwa Kuja’
![12298952_951039554970796_1769017982_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12298952_951039554970796_1769017982_n1-300x194.jpg)
Mwana FA na Hermy B wakikutana hawajawahi kumiss zaidi ya kuhit!
Uzikumbuka ‘Habari Ndio Hiyo’, ‘Bado Nipo Nipo’, ‘Naongea Na Wewe’, ‘Msiache Kuongea’ , ‘Naona Nazeeka Sasa’ na ‘Nangoja Ageuke?’ Hizi zote zilipigwa nwa Hermy B kwenye studio za B’Hits na sasa wawili hao wanakuletea ‘Asanteni Kwa Kuja.’
FA ambaye amekuwa kimya tangu aachie ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba, anavunja ukimya kwa ngoma hiyo yenye kila dalili za kuja kuwa gumzo kama zilivyo ngoma zake nyingi.
Hermy B...
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Ajenda 10 za mrithi wa JK
10 years ago
Mwananchi07 May
Wamsaka mrithi wa Lowassa
9 years ago
Habarileo25 Oct
Msuva matumaini kibao
MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Msuva hakamatiki 2015