Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FBF wamzawadia bingwa Umitashumta

BINGWA wa Michezo ya Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta), Tumaini James juzi alizawadiwa baada ya kufanya vizuri katika mchezo wa riadha taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wazee wamzawadia Lowassa ng’ombe

EdwardLowassaNa John Maduhu, Mwanza
BARAZA la wazee Wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza, limempatia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ng’ombe wawili ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), muda ukifika.
Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini hapa, wakati wa kupokea mrejesho wa Umoja wa Shirika la Machinga Mwanza(SHIUMA), waliokwenda wilayani Monduli, mkoani Arusha kumshawishi Lowassa...

 

10 years ago

GPL

Mashabiki wamzawadia gari msuva

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Wilbert Molandi KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, kwa miezi kadhaa sasa amekuwa akimiliki gari aina ya Toyota Altezza, sasa imebainika kuwa kumbe alipata gari hilo kutoka kwa mashabiki wa timu yake na siyo viongozi wa Yanga. Msuva ambaye amekuwa kwenye kiwango kizuri katika siku za hivi karibuni kiasi cha kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Yanga, amefunguka jinsi...

 

10 years ago

Michuzi

Tughe NHIF wamzawadia Humba mil.10

 Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba akisalimiana na wafanyakazi wa mfuko wakati wa hafla ya kumuaga ambapo Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kimemkabidhi zawadi ya sh. milioni 10 aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko huo, Emmanuel Humba kutokana na kuthamini mchango wake kabla hajastaafu. Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) tawi la NHIF, Gabriel...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nachingwea mabingwa soka Umitashumta Lindi

WILAYA ya Nachingwea mkoani hapa, imetawazwa mabingwa wapya wa soka katika michuano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta), ngazi ya mkoa, baada ya kuwalaza waliokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Umiseta, Umitashumta itumike vizuri

>Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta) yamemalizika juzi kwenye viwanja vya Shirika la Elimu, Kibaha.

 

11 years ago

Mwananchi

UMITASHUMTA: Magharibi, Kati waanza kwa dhahabu

Wanariadha, Agatha Paulo wa Kanda ya Magharibi na Jilunga Amos (Kanda ya Kati) wamekuwa wanamichezo wa kwanza kutwaa medali za dhahabu kwenye michuano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta).

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA UMITASHUMTA YAFIKIA ROBO FAINALI JIJINI MWANZA

 Mgeni rasmi katika mchezo wa robo fainali ya Netiboli kati ya Mtwara dhidi ya Mwanza Bibi Odilio Mushi ambaye pia ni Afisa Elimu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI akitoa nasaha kwa wanamichezo hao mara baada ya kuzikagua timu zao  katika viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Butimba, Mwanza. Waamuzi wa mchezo wa riadha wanaoshiriki katika mashindano ya UMITASHUMTA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanyika kwa fainali ya mbio za mita 400 yanayoendelea katika viwanja vya Chuo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YASITISHA MASHINDANO YA UMISETA/UMITASHUMTA KUHOFIA MAAMBUKIZI YA CORONA


Charles James, Michuzi TV

Serikali imesitisha mashindano ya michezo kwa wanafunzi katika ngazi ya Shule ya Msingi na Sekondari (Umiseta, Umitashumta)  yaliyokua yafanyike hivi karibuni kutokana na tishio la maambukizi ya ugonjwa wa Corona hadi hapo itakapotangazwa baadae.

Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo amesema pamoja na kusitisha mashindano hayo pia shule zitakazofanya mahafali ya kidato cha sita hazitoruhusiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani