Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YASITISHA MASHINDANO YA UMISETA/UMITASHUMTA KUHOFIA MAAMBUKIZI YA CORONA


Charles James, Michuzi TV

Serikali imesitisha mashindano ya michezo kwa wanafunzi katika ngazi ya Shule ya Msingi na Sekondari (Umiseta, Umitashumta)  yaliyokua yafanyike hivi karibuni kutokana na tishio la maambukizi ya ugonjwa wa Corona hadi hapo itakapotangazwa baadae.

Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo amesema pamoja na kusitisha mashindano hayo pia shule zitakazofanya mahafali ya kidato cha sita hazitoruhusiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CAF YASITISHA MASHINDANO YA CHAN KUHOFIA CORONA


Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeahirisha Mashindao ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (CHAN) kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya COVID19 (virusi vya corona)Mashindano hayo yalipaswa kuanza April 04 mpaka April 25 2020 huko Cameroon.
Tanzania ni miongoni mwa timu zilizokuwa zishiriki mashindano hayo ambapo kikosi cha Stars bado kiko kambiniBaada ya uamuzi huo ni wazi kambi itavunjwa na wachezaji kurejea kwenye timu zao kuendelea na ligi kuu (kama TFF...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Umiseta, Umitashumta itumike vizuri

>Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (Umitashumta) yamemalizika juzi kwenye viwanja vya Shirika la Elimu, Kibaha.

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA ELIMU YASITISHA SHEREHE ZA UFUNGUZI MASHINDANO YA MAKISATU KUEPUKA CORONA


Charles James, Globu ya Jamii

KATIKA kuchukua tahadhari ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwenye maeneo mbalimbali, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imehairisha sherehe za ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu zilizokua zifanyike leo jijini Dodoma.

Akizungumza leo katika uwanja wa Jamhuri ambapo mashindano hayo yanafanyika, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof James Mdoe kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako...

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA afungua mashindano ya UMISETA jijini Mwanza

IMGL8638
IMGL8569

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL8588

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

IMGL8638

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA UMITASHUMTA YAFIKIA ROBO FAINALI JIJINI MWANZA

 Mgeni rasmi katika mchezo wa robo fainali ya Netiboli kati ya Mtwara dhidi ya Mwanza Bibi Odilio Mushi ambaye pia ni Afisa Elimu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI akitoa nasaha kwa wanamichezo hao mara baada ya kuzikagua timu zao  katika viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Butimba, Mwanza. Waamuzi wa mchezo wa riadha wanaoshiriki katika mashindano ya UMITASHUMTA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanyika kwa fainali ya mbio za mita 400 yanayoendelea katika viwanja vya Chuo...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA, JIJINI MWANZA LEO

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Marekani yasitisha matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine kutibu corona

Rais Trump atetea dawa ya hydroxychloroquine licha ya shirika la FDA kusema hakuna ushahidi kuwa dawa hii inatibu corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Tanzania yafunga shule zote nchini kuzuia maambukizi ya virusi vya corona

Tanzania yatangaza kufunga shule zote kuanzia za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30

 

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CUF CHAUNGA MKONO MAAMUZI YA SERIKALI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19) NCHINI

CUF- Chama Cha Wananchi kinapenda kuunga mkono Maamuzi ya Serikali ya kutangaza kuendelea kufungwa kwa Shule na Vyuo vya Elimu ya Juu pamoja na kuendelea kusimamisha mikusanyiko ya shughuli za Michezo katika kupambana na kuenea kwa  Maambukizi ya COVID-19.  CUF-Chama Cha Wananchi kinaunga mkono pia Uamuzi wa kufuta Sherehe za Muungano na Mei Mosi kwa mwaka huu na pia Maamuzi ya kuelekeza Shilingi Milioni 500 zilizopangwa zitumike kwenye Sherehe za Muungano, kwenye Mfuko wa Kupambana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani