MASHINDANO YA UMITASHUMTA YAFIKIA ROBO FAINALI JIJINI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-8_VQ28V_E-g/VZLYHDysQQI/AAAAAAAHl8c/cU38wRUoIfo/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Mgeni rasmi katika mchezo wa robo fainali ya Netiboli kati ya Mtwara dhidi ya Mwanza Bibi Odilio Mushi ambaye pia ni Afisa Elimu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI akitoa nasaha kwa wanamichezo hao mara baada ya kuzikagua timu zao katika viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Butimba, Mwanza.
Waamuzi wa mchezo wa riadha wanaoshiriki katika mashindano ya UMITASHUMTA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanyika kwa fainali ya mbio za mita 400 yanayoendelea katika viwanja vya Chuo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Mashindano ya SHIMIWI yafikia hatua ya nusu fainali mjini Morogoro
Timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya Ikulu wakiwavuta timu ya Wizara ya Kilimo, Ushirika na Chakula (hawapo pichani) wakati wa mashindano ya kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya SHIMIWI leo mjini Morogoro ambapo Ikulu imefuzu kucheza hatua hiyo.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) imefikia hatua ya nusu fainali kwa michezo ya kuvuta kamba, mpira wa miguu na mpira wa pete kwenye mashindano yanayoendelea mjini...
10 years ago
MichuziNYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP, DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dxMtz2qcX6o/XlVDwRJphfI/AAAAAAALfZU/CmzMoR33AfMOnaZCOQqdu2fh37EuQn7wwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B18.55.52.jpeg)
SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP
![](https://1.bp.blogspot.com/-dxMtz2qcX6o/XlVDwRJphfI/AAAAAAALfZU/CmzMoR33AfMOnaZCOQqdu2fh37EuQn7wwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-25%2Bat%2B18.55.52.jpeg)
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...
10 years ago
MichuziWarsha ya Maafisa Vijana,waratibu wa ukimwi na wadau mbalimbali yafikia siku ya tatu jijini Mwanza
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kB238HMM_VA/Xm4Woqw5FvI/AAAAAAALjvY/wMk46mT5AeE9aofmg9UUJX1GvtYcSVM2ACLcBGAsYHQ/s72-c/66bd3974-9bf8-412d-a965-db8aecfd0ecf%2B%25281%2529.jpg)
SERIKALI YASITISHA MASHINDANO YA UMISETA/UMITASHUMTA KUHOFIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Charles James, Michuzi TV
Serikali imesitisha mashindano ya michezo kwa wanafunzi katika ngazi ya Shule ya Msingi na Sekondari (Umiseta, Umitashumta) yaliyokua yafanyike hivi karibuni kutokana na tishio la maambukizi ya ugonjwa wa Corona hadi hapo itakapotangazwa baadae.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo amesema pamoja na kusitisha mashindano hayo pia shule zitakazofanya mahafali ya kidato cha sita hazitoruhusiwa...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
PINDA afungua mashindano ya UMISETA jijini Mwanza
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA, JIJINI MWANZA LEO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Iov8MuBjb3k/VXSbrQ_DeiI/AAAAAAAHc4U/8XnYFm7ryX0/s72-c/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
MULONGO AZINDUA MASHINDANO YA U13 TAIFA JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Iov8MuBjb3k/VXSbrQ_DeiI/AAAAAAAHc4U/8XnYFm7ryX0/s640/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
Akifungua mashindano haya Mh Mulongo amewataka vijana hao kujituma katika michezo na masomo kwa kuwa vyote vinakwenda sambamba.
Amelisisitizia Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuongeza juhudi katika kuimarisha soka la vijana.
Katika salam zake za utangulizi Rais wa TFF Jamal Malinzi ameeleza kuwa lengo la mashindano haya ni kuibua timu ya vijana...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f6PcSQe0vXY/Vlr59uFnxxI/AAAAAAAIJAk/QO82SOrOyRs/s72-c/08d1ae8d-9a0f-4811-b189-221f2bb3d963.jpg)
MASHINDANO YA NGALAWA YA BALIMI YAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-f6PcSQe0vXY/Vlr59uFnxxI/AAAAAAAIJAk/QO82SOrOyRs/s640/08d1ae8d-9a0f-4811-b189-221f2bb3d963.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4WhdcZtdqRI/Vlr6AQu1djI/AAAAAAAIJAw/WxR8aOQgHNk/s640/a5200119-89c2-4aa4-903e-b531747c7f08.jpg)