MKURUGENZI MKUU WA TANZANIA WOMEN'S BANK MS MARGARETH CHACHA AKUTANA NA WAKINA MAMA WA DMV
Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women's Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki ya akina mama. Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women's Bank kulia ni D .… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women’s Bank Margareth Chacha akutana na wakina Mama wa DMV
Mama Anna Mukami akiwakaribisha wakina mama wa DMV na kumtambulisha mkurugenzi mkuu wa Tanzania Women’s Bank wakati Ms Margareth Chacha alipokutana na wakina mama DMV na kuwaelezea sababu za kuanzishwa Benki ya akina mama.
Mchungaji Dr. Nicku Kyangu Mordi akianza kwa sala kabla ya mkutano kuanza.
Ms Margareth Chacha Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Women’s Bank akiongea na akina mama DMV siku ya Ijumaa April 11, 2014 na kuwapa faida ya kufungua AC na Benk hiyo ikiwemo masharti nafuu ya...
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA TANZANIA WOMEN'S BANK MS MARGARETH CHACHA AKUTANA NA WAKINA MAMA WA DMV
11 years ago
GPLTOP 20 YA 'MAMA SHUJAA WA CHAKULA' WATAKAOINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WIKIENDI HII
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/Picture-055.jpg?width=640)
HOYCE TEMU AMONG TOP MISA'S WOMEN TO WATCH 2014
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aKhBjAqhxas/VEi9ZdM7aSI/AAAAAAADKag/l-N6rTHTU88/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BIALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA UBA TANZANIA GENERAL ROBERT MBOMA NA UJUMBE WAKE, IKULU DAR.
![](http://4.bp.blogspot.com/-aKhBjAqhxas/VEi9ZdM7aSI/AAAAAAADKag/l-N6rTHTU88/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IC6VxJeIdms/VEi9ZvNBe1I/AAAAAAADKak/1Keyt947xk0/s1600/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa UBA Tanzania Generali Robert Mboma na ujumbe wake, Ikulu Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba...
11 years ago
GPLUPENDO WOMEN'S GROUP BRUSSELS UBELGIJI WAICHANGIA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
11 years ago
GPLMAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA WANAWAKE WATANZANIA WAJASIRIAMALI WA DMV JIJINI WASHINGTON