MKUTANO WA CHADEMA MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO.
Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Reli, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mjini jana.
Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi mjini wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa reli wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa ,Mh Freeman Mbowe.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK afungua jengo la upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.




5 years ago
MichuziWafanyakazi wa DCB washiriki Kilimanjaro Marathon mjini Moshi.
11 years ago
Michuzi
Maandalizi Kilimanjaro Marathon 2014 yaendelea mjini Moshi
Na Dixon Busagaga
wa Globu ya Jamii, Moshi.
Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa.
Njia mpya zimelenga kuboresha mwendo wa washiriki barabarani na kuwafanya wafurahie zaidi mbio hizo zilizopangwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.
Akitangaza njia hizo mpya jana, John Addison, Mkurugenzi wa Wild...
10 years ago
Michuzi
Kilimanjaro Marathon 2015 kufanyika Machi 1,mjini Moshi

Mkurugenzi wa Mbio hizo John Bayo jana katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliwataja baadhi ya wanariadha nyota kutoka Tanzania kuwa ni Andrew Sambu, Daudi Joseph, Mashaka Masumbuko, watachuana na wanariadha wengine kutoka nchini na kutoka nje ya nchi katika mbio za Kilimanjaro Premium Lager...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Makalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
MichuziMSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI
10 years ago
Vijimambo
MKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.







11 years ago
MichuziMashindano ya Safari Pool Taifa yafunguliwa rasmi mjini Moshi,Kilimanjaro leo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania