Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa DCB washiriki Kilimanjaro Marathon mjini Moshi.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Katikati), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB wakishiriki mbio za kujifurahisha za kilomita 5 wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro leo.  Wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB, wakishiriki mbio za Kilomita 21 pamoja na wakimbiaji wengine katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maandalizi Kilimanjaro Marathon 2014 yaendelea mjini Moshi

Na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Moshi.   Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa.  Njia mpya zimelenga kuboresha mwendo wa washiriki barabarani na kuwafanya wafurahie zaidi mbio hizo zilizopangwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.   Akitangaza njia hizo mpya jana, John Addison, Mkurugenzi wa Wild...

 

10 years ago

Michuzi

Kilimanjaro Marathon 2015 kufanyika Machi 1,mjini Moshi

Mbio za 13 za Kilimanjaro Marathon ambazo zimepangwa kufanyika Machi 1, 2015 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zimepata msisimko mpya baada ya wanariadha nyota wa Tanzania kuthibitisha kushiriki.
Mkurugenzi wa Mbio hizo John Bayo jana katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliwataja baadhi ya wanariadha nyota kutoka Tanzania kuwa ni Andrew Sambu, Daudi Joseph, Mashaka Masumbuko, watachuana na wanariadha wengine kutoka nchini na kutoka nje ya nchi katika mbio za Kilimanjaro Premium Lager...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi

1

Kaimu Meneja wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Cecile Tiano (wa pili) kushoto, akiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Mjini Moshi.

2

Washindi wa mashindano ya Tigo Kili Marathon, kwa upande wa Wanawake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, katika mashindano hayo yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika...

 

5 years ago

Michuzi

MD wa SBL ashiriki mbio za Kilomita 21 Kili Half Marathon 2020 mjini Moshi


Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Mark Ocitti akikimbia na kufanikiwa kumaliza  mbio za kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi leo. Tukutane Chui finishing line.

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA CHADEMA MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Reli, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mjini jana.Baadhi ya Wakazi wa  Kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi mjini wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa reli wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa ,Mh Freeman Mbowe.

 

10 years ago

Michuzi

Makalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro

Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini MoshiNaibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga...

 

10 years ago

Michuzi

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes, Meneja wa Bia ya...

 

11 years ago

Michuzi

mnuso wa wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi

Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza katika sherehe ya wajumbe wa bodi na wafanyakazi wa mamlaka hiyo. Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (Hawako pichani) Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,Elizabeth Minde akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani