Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandalizi Kilimanjaro Marathon 2014 yaendelea mjini Moshi

Na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Moshi.   Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa.  Njia mpya zimelenga kuboresha mwendo wa washiriki barabarani na kuwafanya wafurahie zaidi mbio hizo zilizopangwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.   Akitangaza njia hizo mpya jana, John Addison, Mkurugenzi wa Wild...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa DCB washiriki Kilimanjaro Marathon mjini Moshi.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Katikati), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB wakishiriki mbio za kujifurahisha za kilomita 5 wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro leo.  Wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB, wakishiriki mbio za Kilomita 21 pamoja na wakimbiaji wengine katika...

 

10 years ago

Michuzi

Kilimanjaro Marathon 2015 kufanyika Machi 1,mjini Moshi

Mbio za 13 za Kilimanjaro Marathon ambazo zimepangwa kufanyika Machi 1, 2015 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zimepata msisimko mpya baada ya wanariadha nyota wa Tanzania kuthibitisha kushiriki.
Mkurugenzi wa Mbio hizo John Bayo jana katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliwataja baadhi ya wanariadha nyota kutoka Tanzania kuwa ni Andrew Sambu, Daudi Joseph, Mashaka Masumbuko, watachuana na wanariadha wengine kutoka nchini na kutoka nje ya nchi katika mbio za Kilimanjaro Premium Lager...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi

1

Kaimu Meneja wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Cecile Tiano (wa pili) kushoto, akiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Mjini Moshi.

2

Washindi wa mashindano ya Tigo Kili Marathon, kwa upande wa Wanawake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, katika mashindano hayo yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF ILIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2014

Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi. Wa nne kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utekelezaji,  Crescentius Magori  ambaye alishiriki katika mbio za kilometa 21. Wa pili kulia ni Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delphina Masika. Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa medali zao baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon  2014 zilizofanyika Moshi,...

 

11 years ago

Michuzi

Maelfu wajitokeza kujiandikisha Kilimanjaro Marathon 2014

Ujenzi wa mabanda mbalimbali ndani ya uwanja wa Ushirika ukiendelea. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

MD wa SBL ashiriki mbio za Kilomita 21 Kili Half Marathon 2020 mjini Moshi


Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Mark Ocitti akikimbia na kufanikiwa kumaliza  mbio za kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi leo. Tukutane Chui finishing line.

 

11 years ago

Michuzi

Washindi Kilimanjaro Marathon 2014 kujipatia zaidi ya shilingi milioni 40

Zawadi za fedha taslimu kwa washindi wa Kilimanjaro Marathon 2014 zimeongezwa hadi zaidi ya shilingi milioni 40 na kuifanya mbio hii kuwa kati ya m io kubwa zaidi barani Afrika.
Waandaaji wa mbio hizo wametangaza kuwa washindi wa wa Kilimanjaro Marathon 2014 watajipatia zaidi ya shilingi milioni 40 fedha taslimu kama zawadi.
John Addison, Mkurugenzi Mkuu wa Wild Frontiers, waandaaji wa mbio hizo alisema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana kuwa mbali na washindi kujinyakulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani