Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF ILIVYOSHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2014

Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi. Wa nne kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utekelezaji,  Crescentius Magori  ambaye alishiriki katika mbio za kilometa 21. Wa pili kulia ni Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delphina Masika. Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa medali zao baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon  2014 zilizofanyika Moshi,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo zimefanyika kwa mwaka wa 13 mfululizo. 
 NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao.Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia)...

 

10 years ago

GPL

NSSF YANG'ARA MASHINDANO YA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON‏

Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF - Kilimanjaro wakimalizia kukimbi mbio za kilometa 5. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro.…

 

11 years ago

Michuzi

Maelfu wajitokeza kujiandikisha Kilimanjaro Marathon 2014

Ujenzi wa mabanda mbalimbali ndani ya uwanja wa Ushirika ukiendelea. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi Kilimanjaro Marathon 2014 yaendelea mjini Moshi

Na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Moshi.   Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa.  Njia mpya zimelenga kuboresha mwendo wa washiriki barabarani na kuwafanya wafurahie zaidi mbio hizo zilizopangwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.   Akitangaza njia hizo mpya jana, John Addison, Mkurugenzi wa Wild...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi Kilimanjaro Marathon 2014 kujipatia zaidi ya shilingi milioni 40

Zawadi za fedha taslimu kwa washindi wa Kilimanjaro Marathon 2014 zimeongezwa hadi zaidi ya shilingi milioni 40 na kuifanya mbio hii kuwa kati ya m io kubwa zaidi barani Afrika.
Waandaaji wa mbio hizo wametangaza kuwa washindi wa wa Kilimanjaro Marathon 2014 watajipatia zaidi ya shilingi milioni 40 fedha taslimu kama zawadi.
John Addison, Mkurugenzi Mkuu wa Wild Frontiers, waandaaji wa mbio hizo alisema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana kuwa mbali na washindi kujinyakulia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JACKLINE JUMA SAKILU: Mpiganaji JWTZ aliyewafuta machozi Watanzania Kilimanjaro Marathon 2014

MBIO za Kilimanjaro Marathon 2014 zimefanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro jana, huku ikishuhudiwa Mtanzania pekee, Jackline Juma Sakilu akiipeperusha vema bendera ya Tanzania katika mbio za Nusu Marathoni Km 21....

 

10 years ago

Michuzi

UTT ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI 2014 PAMOJA NA MAONYESHO YA WAHANDISI

Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Ofisa Uendeshaji wa UTT, Justine Joseph akitoa maelezo kuhusu fai anayoweza kupata mwanachama  mara baada ya kujiunga na mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania.  Watu mbalimbali wakisoma vipeperushi vyenye maelezo ya huduma za UTT ili kujua faida za...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF yapiga jeki Rock City Marathon kwa Sh 15M/-

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Salim Shao (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 15 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Capital Plus International Limited, ambao ni waandaaji wa mbio za Rock City Marathon, Bw. Erasto Kilawe, jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni udhamini wa mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza tarehe 15 Novemba  mwaka huu. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani