Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandalizi ya Uhuru Marathon 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maandalizi Kilimanjaro Marathon 2014 yaendelea mjini Moshi

Na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Moshi.   Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika kwa mbio za mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo sasa zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa.  Njia mpya zimelenga kuboresha mwendo wa washiriki barabarani na kuwafanya wafurahie zaidi mbio hizo zilizopangwa kufanyika tarehe 2 Machi, 2014 mjini Moshi.   Akitangaza njia hizo mpya jana, John Addison, Mkurugenzi wa Wild...

 

10 years ago

TheCitizen

All set for 2014 Uhuru Marathon

A host of athletes, including elite runners from various countries across the world, are expected to compete in the fourth edition of Uhuru Marathon set for today in Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Chibuku Super yadhamini Uhuru Marathon 2014

Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika dhifa ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni sita kwaajili ya udhamini wa mbio hizo,ambapo wamedhamini mbio za km 5. kushoto ni meneja usambazaji na mauzo wa Darbrew,Fred Kazindogo.
KAMPUNI ya Bia za asili ya Darbrew (TBL) kupitia bia yake ya asili ya Chibuku super imetangaza kudhamini mashindano ya mbio ndefu za Uhuru ‘Uhuru Marathon’ kwa kiasi cha Sh.  milioni 6.
Akitangaza udhamini huo...

 

10 years ago

Michuzi

UHURU MARATHON 2014 YADHAMINIWA NA STAR TIMES

Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam wakati akielezea juu ya udhamini wa kampuni ya startimes kudhamini kwa kutoa matangazo na vifaa vyenye Zaidi ya shilingi milioni nne na laki tano.Kushoto kwake ni meneja huduma kwa wateja wa startimes Jackson Ngowi

 

11 years ago

Michuzi

Uhuru Marathon 2014 kuzinduliwa kijini Butiama

Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa Mbio hizo kwa Mwaka 2014,ambapo mwaka huu Mbio hizo zitazinduliwa kwenye Kijiji cha Butiama,Mkoani Mara. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Selemani Nyambui akinzungumza kwenye Mkutano huo.
MBIO za Uhuru (Uhuru Marathon) zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi katika kijiji cha Butiama mkoani Mara, Agosti mwaka huu, huku...

 

9 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA ROTARY DAR MARATHON 2015 YAKAMILIKA

Naibu mkurugenzi mkuu wa Benki M Bi. Jacqueline Woiso akiongea na waandishi wa habari leo hii katika ukumbi wa Hyatt Regency juu ya maandalizi ya Rotary Dar Marathon 2015 ambayo huandaliwa na Rotary klabu za Dar es salaam kwa kushirikiana na Benki M. Mbio na matembezi ya Dar Rotary Marathon kwa mwaka huu zitafanyika katika viwanja vya Green, Oysterbay tarehe 14 October 2015. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya Rotary Bi. Sharmila Bhatt, Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Bi....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ushirikina Uhuru Marathon

MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina. Tukio...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhuru Marathon kivumbi leo

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ataongoza wabunge 84 katika mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika leo kwenye Viwanja wa Leaders Club

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani