Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhuru Marathon 2014 kuzinduliwa kijini Butiama

Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa Mbio hizo kwa Mwaka 2014,ambapo mwaka huu Mbio hizo zitazinduliwa kwenye Kijiji cha Butiama,Mkoani Mara. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Selemani Nyambui akinzungumza kwenye Mkutano huo.
MBIO za Uhuru (Uhuru Marathon) zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi katika kijiji cha Butiama mkoani Mara, Agosti mwaka huu, huku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa keshokutwa

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani
kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya
New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace
Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya
riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa
mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi huo.
Bi....

 

10 years ago

Dewji Blog

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa kesho kutwa

Untitled

Na Mwandishi Wetu

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014 zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya New Afrika, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa...

 

10 years ago

TheCitizen

All set for 2014 Uhuru Marathon

A host of athletes, including elite runners from various countries across the world, are expected to compete in the fourth edition of Uhuru Marathon set for today in Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Chibuku Super yadhamini Uhuru Marathon 2014

Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika dhifa ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni sita kwaajili ya udhamini wa mbio hizo,ambapo wamedhamini mbio za km 5. kushoto ni meneja usambazaji na mauzo wa Darbrew,Fred Kazindogo.
KAMPUNI ya Bia za asili ya Darbrew (TBL) kupitia bia yake ya asili ya Chibuku super imetangaza kudhamini mashindano ya mbio ndefu za Uhuru ‘Uhuru Marathon’ kwa kiasi cha Sh.  milioni 6.
Akitangaza udhamini huo...

 

10 years ago

Michuzi

UHURU MARATHON 2014 YADHAMINIWA NA STAR TIMES

Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam wakati akielezea juu ya udhamini wa kampuni ya startimes kudhamini kwa kutoa matangazo na vifaa vyenye Zaidi ya shilingi milioni nne na laki tano.Kushoto kwake ni meneja huduma kwa wateja wa startimes Jackson Ngowi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenge wa uhuru kuzinduliwa Kagera

MWENGE wa uhuru utazinduliwa Mei 2 mwaka huu mkoani Kagera ambapo miradi yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 14 itazinduliwa. Katika shughuli za uzinduzi huo utakaofanyika kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ushirikina Uhuru Marathon

MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina. Tukio...

 

10 years ago

Daily News

Uhuru Marathon set for Dec 7


Uhuru Marathon set for Dec 7
Daily News
THE second edition of Uhuru Marathon is set for December 7, this year, in Dar es Salaam. Speaking at the launch of the marathon in the city on Tuesday, Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Information, Youth, Culture and Sports, Prof. Elisante Ole ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani