Ushirikina Uhuru Marathon
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina. Tukio...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLYALIYOJIRI LEO UHURU MARATHON
Bendi ya jeshi la polisi ikitumbuiza. Wageni rasmi (kutoka kushoto) Mwenyekiti mstaafu wa BMT, Kanali Idd Kipingu, Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Habari na Michezo, Juliana yasoda, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala, Mratibu wa Uhuru Marathon, Innocent Meleck. Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha,…
10 years ago
Michuzi26 Nov
10 years ago
TheCitizen07 Dec
All set for 2014 Uhuru Marathon
A host of athletes, including elite runners from various countries across the world, are expected to compete in the fourth edition of Uhuru Marathon set for today in Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Uhuru Marathon kivumbi leo
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ataongoza wabunge 84 katika mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika leo kwenye Viwanja wa Leaders Club
10 years ago
Daily News08 Oct
Uhuru Marathon set for Dec 7
Daily News
THE second edition of Uhuru Marathon is set for December 7, this year, in Dar es Salaam. Speaking at the launch of the marathon in the city on Tuesday, Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Information, Youth, Culture and Sports, Prof. Elisante Ole ...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
JK kubariki Uhuru Marathon leo
p>MBIO za Uhuru Marathon 2013 zinatimua vumbi leo huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Mbio hizo za Km 42, Km 21, Km 5 na Km 3 zitaanzia viwanja...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon
Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).
10 years ago
GPLMBIO ZA UHURU MARATHON ZAZINDULIWA LEO
Kutoka kushoto ni Zainabu Mbino (M/Kiti Riadha Dar), Naibu Katibu wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Ombeni Zavara, mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel na Mratibu wa mashindano ya Uhuru Marathon, na Inocent Melleck. Mgeni Rasmi wa uzinduzi wa mbio za Uhuru Marathon, Mh. Elisante ole Gabriel akiongea na waandishi wa habari(… ...
10 years ago
MichuziChibuku Super yadhamini Uhuru Marathon 2014
KAMPUNI ya Bia za asili ya Darbrew (TBL) kupitia bia yake ya asili ya Chibuku super imetangaza kudhamini mashindano ya mbio ndefu za Uhuru ‘Uhuru Marathon’ kwa kiasi cha Sh. milioni 6.
Akitangaza udhamini huo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania