Mkutano wa kampeni za CUF Fumba, jimbo la Dimani
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Fumba Kids, jimbo la Dimani.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha mgombea Uwakilishi wa jimbo la Dimani kupitia chama hicho Bw. Mohamed Hashim Ismail, katika mkutano uliofanyika viwanja vya Fumba Kids.Wafuasi wa CUF wakifuatilia hotuba na mgombea urais wa Chama hicho katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Oct
Mkutano wa kampeni CUF jimbo la Mfenesini/Mwakaje
The post Mkutano wa kampeni CUF jimbo la Mfenesini/Mwakaje appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
MichuziMaalim Seif alitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kujua waliochoma moto ofisi ya CUF jimbo la Dimani
Maalim Seif amesema hayo wakati alipotembelea ofisi hizo zilizoteketezwa kabisa kwa moto, tukio lililofanywa na watu wasiojuilikana juzi usiku, huko katika eneo la Kisauni Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF amesema tukio hilo ni la kusikitisha...
9 years ago
VijimamboMkutano wa Kampeni wa CUF Micheweni
9 years ago
VijimamboUzinduzi wa Kampeni za CUF jimbo la Malindi uliofanyika Mfenesi Mazizi
Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi
Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi
Hatimaye leo CUF Jimbo la Malindi imezindua kampeni huko Mfenesi Mazizi kwa kishindo...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
MKUTANO WA CUF KESHO JUMAPILI JIMBO LA KITOPE
Mkutano huo utafanyika katika Jimbo la Kitope, kiwanja cha Kitope Kipandoni kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni(8:00-12:00) na kuhutubiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
Tukumbuke kwamba Jumapili ya tarehe 12/04/2015 ni siku maalum, katika...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
Video:Mkutano wa kampeni za CUF Mpendae
The post Video:Mkutano wa kampeni za CUF Mpendae appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Oct
Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15
The post Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15 appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Mkutano wa kampeni CUF Malindi/Mfenesi Mazizi 17/09/15
The post Mkutano wa kampeni CUF Malindi/Mfenesi Mazizi 17/09/15 appeared first on Mzalendo.net.