Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa Kampeni za CUF jimbo la Malindi uliofanyika Mfenesi Mazizi

Wagombea wa CUF jimbo la Malindi wakiwa katika Meza kuu wakati wa uzinduzi wa Kampeni za kuwania jimbo hili. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CUF jimbo la Malindi, Ali Saleh akijinadi hapo Mfenesi mazizi .
Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi

Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi



Hatimaye leo ‪‎CUF‬ Jimbo la ‪Malindi‬ imezindua kampeni huko Mfenesi Mazizi kwa kishindo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mkutano wa kampeni CUF Malindi/Mfenesi Mazizi 17/09/15

The post Mkutano wa kampeni CUF Malindi/Mfenesi Mazizi 17/09/15 appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Uzinduzi kampeni za urais CUF leo

CHAMA cha Wananchi (CUF) leo kinatarajiwa kuzindua kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ambapo mgombea urais wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad atawahutubia wafuasi wake na kunadi sera.

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwaasa wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini Kumchagua MH John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh aziz Abood Akiwahutubia wananchi na wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za  Ubunge za Jimboni humo.

Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR LEO



Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar leo Septemba 9, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mkutano wa kampeni CUF jimbo la Mfenesini/Mwakaje

The post Mkutano wa kampeni CUF jimbo la Mfenesini/Mwakaje appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Mkutano wa kampeni za CUF Fumba, jimbo la Dimani

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Fumba Kids, jimbo la Dimani.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha mgombea Uwakilishi wa jimbo la Dimani kupitia chama hicho Bw. Mohamed Hashim Ismail, katika mkutano uliofanyika viwanja vya Fumba Kids.Wafuasi wa CUF wakifuatilia hotuba na mgombea urais wa Chama hicho katika...

 

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo.Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani