LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati akiwasili katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar leo Septemba 9, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
LOWASSA, DUNI WAHUDHULIA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA CHAMA ZA CUF, ZANZIBAR LEO


10 years ago
Habarileo09 Sep
Uzinduzi kampeni za urais CUF leo
CHAMA cha Wananchi (CUF) leo kinatarajiwa kuzindua kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ambapo mgombea urais wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad atawahutubia wafuasi wake na kunadi sera.
10 years ago
Michuzi
LOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF, JIJINI DAR LEO


10 years ago
Mwananchi24 May
cuf,zanzibar,duni,juma,haji,uchaguzi,2015,upinzani,
10 years ago
Vijimambo
Uzinduzi wa Kampeni za CUF jimbo la Malindi uliofanyika Mfenesi Mazizi



Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi

Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi


10 years ago
VijimamboUzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Urais wa Chama cha CHAUMMA Komba Wapya Rahaleo.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
GHARIKA YA WATU YASHUHUDIA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

