Mkutano wa wadau wa mawasiliano (Connect 2 Connect) wafanyika Dar es Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza wakati wa ufungzi wa Mkutano wa Connect 2 Connect unafanyika katika Hotel ya Ramada jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo wa Kimataifa unafanyika kwa mara ya tatu hapa nchini ambao unawashirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya mawasiliano, viongozi wa serikalini na taasisi binafsi, mawaziri kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, watoa huduma za mawasiliano na watengenezaji wa vifaa vya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Oct
Mkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar



10 years ago
Vijimambo30 Jul
Mkutano wa 'Connect 2 Connect' Waingia Siku ya Pili Tanzania


10 years ago
MichuziMkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam
ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Counciljijini Dar es Salaa
Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa...
10 years ago
TheCitizen12 Apr
Tanesco: We plan to connect power to 0.5m Dar customers
>The state power utility firm, Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanseco), is planning to connect about half a million new customers in Dar es Salaam alone, thanks to a number of new projects that are nearing completion.
10 years ago
MichuziMKUTANO WA WADAU WA NISHATI YA UMEME VIJIJINI WAFANYIKA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziMKUTANO WA WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
GPLMKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR
 Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa. Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-March-2025 in Tanzania