Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA JESHI MSTAAFU WA BURUNDI AUAWA

Chief Colonel Jean Bikomagu, enzi za uhai wake. Mkuu wa Jeshi Mstaafu wa Burundi aliyongoza mapigano ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, Chief Colonel Jean Bikomagu ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nyumbani kwake leo na watu wasiojulikana. Mmoja wa wanafamilia alikiambia chombo kimoja cha habari mjini Bujumbura kuwa, Jean Bikomagu alivamiwa na watu wasiojulikana mapema leo nyumbani kwake Wilaya ya Kinindo, Kusini mwa Mji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KYERWA LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO MKOANI MOROGORO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa likiwa tayari limewekwa kwenye nyumba yake ya Milele.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASIFU WA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA - ONEL E. MALISA

 Marehemu alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.  Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kidia mwaka 1951 – 1954 na baadae Shule ya Msingi Kidia Juu (Kidia Upper Primary School) mwaka1955 – 1958.    Alihitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne mwaka 1974 katika Shule ya Sekondari Mawenzi akiwa mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candate). Aidha, alisoma Cheti cha Sheria Chuo Kikuu cha D’Salaam mwaka 1975 – 1976 na baadaye Shahada ya Kwanza ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA, RAIS MSTAAFU KIKWETE WAKISHIRIKI MAZISHI YA NKURUNZIZA BURUNDI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais mstaafu , Dk. Jakaya Kikwete, wakitoa heshima baada ya kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza katika mazishi yaliyofanyika Gitega nchini Burundi, Juni 26, 2020.

 

10 years ago

Vijimambo

WASIFU WA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, MAREHEMU ONEL ELIAS MALISA

Marehemu alizaliwa mwaka 1944 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.  Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kidia mwaka 1951 – 1954 na baadae Shule ya Msingi Kidia Juu (Kidia Upper Primary School) mwaka1955 – 1958.  Alihitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne mwaka 1974 katika Shule ya Sekondari Mawenzi akiwa mtahiniwa wa kujitegemea (Private Candate). Aidha, alisoma Cheti cha Sheria Chuo Kikuu cha D’Salaam mwaka 1975 – 1976 na baadaye Shahada ya Kwanza ya Sheria...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu ashinda kwenye promosheni ya Airtel Tanzania Mimi ni Bingwa

Afisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishini mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
---------------------------- MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya anakila sababu...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU ASHINDA KWENYE PROMOSHENI YA AIRTEL TANZANIA MIMI NI BINGWA‏

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP)...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AONGOZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akiweka saini katika daftari la rambirambi kwenye msiba wa aliyekuwa Kamishna Mkuu mstaafu wa Jeshi la Magereza, Onel Malisa wakati wa ibada iliyofanyika katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akiweka saini katika daftari la rambirambi kwenye msiba wa aliyekuwa Kamishna Mkuu mstaafu wa Jeshi la Magereza, Onel Malisa wakati wa ibada...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI MSTAAFU, JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA JESHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mgeni rasmi katika hafla hiyo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi,Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu ,Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo. 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara na kushoto ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchi ,Luteni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani