Mkuu wa mkoa amsimamisha kazi mhandisi wa wilaya
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa ameagiza kusimamishwa kazi Mhandisi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Suleiman Paul na Ofisa Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Denis Nyisaba ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuisabababishia Serikali hasara ya mamilioni ya fedha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mwanri amsimamisha kazi mhandisi
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Paschal Manyama.
9 years ago
StarTV23 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu RAHCO
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za Reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito kupisha uchunguzi wa kina kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amefikia uamuzi huo baada ya kuitisha kikao cha wataalamu kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa RAHCO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuhudumia Miundombinu ya Reli (RAHCO) Benhadard Tito (katikati). (Picha na Maktaba).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Sitta amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu TPA, alalamikiwa kwa ubabaishaji
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MWEKA HAZINA KOROGWE NA MAAFISA WAWILI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange pamoja na maafisa wengine wawili wanaosimamia ukusanyaji wa mapato katika kituo cha mabasi cha Korogwe baada ya kushindwa kuwasilisha mapato Serikalini.
“Mnakusanya fedha na kuziweka mfukoni hazipelekwi benki mnazitumia kwa matumizi yenu binafsi na kuna siku inaonesha hamjakusanya chochote, hatuwezi kuvumia hali hii hawa wote wakamatwe na wawekwe ndani na hii iwe funzo kwa waweka...
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZZ......: RAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA TRA
Hatua hiyo imekuja baada kubaini kupitishwa kwa makontena zaidi ya 300 na kusababishia hasara Serikali ya zaidi ya shilingi bilioni 80.
Rais Magufuli pia amemteua Katibu...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA MPWAPWA MHE. ANTH0NY MAVUNDE