Sitta amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu TPA, alalamikiwa kwa ubabaishaji
Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande baada ya kuwepo malalamiko ya ubabaishaji katika zabuni mbalimbali za mamlaka hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-BVTNaVG6aMY/VOHY2k7BgmI/AAAAAAAAa2Y/N8Bld5BJCFc/s72-c/tpa.jpg)
SITTA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TPA MADENI KIPANDE
![](http://3.bp.blogspot.com/-BVTNaVG6aMY/VOHY2k7BgmI/AAAAAAAAa2Y/N8Bld5BJCFc/s640/tpa.jpg)
Pamoja na kuchukua uamuzi huo Mhe. Sitta, ameunda tume ya watu sita itakayokuwa na jukumu la kuchunguza tuhuma zinazomkabilia...
9 years ago
StarTV23 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu RAHCO
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za Reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito kupisha uchunguzi wa kina kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amefikia uamuzi huo baada ya kuitisha kikao cha wataalamu kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa RAHCO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuhudumia Miundombinu ya Reli (RAHCO) Benhadard Tito (katikati). (Picha na Maktaba).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu...
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Waziri Ummy Mwalimu amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7LFae3M8UZ4/VnqsUHBdCnI/AAAAAAAION4/gu7-ykrKjEo/s72-c/IMG_0724.jpg)
WAZIRI WA AFYA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA OCEAN ROAD DK.DIWAN MSEMO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-7LFae3M8UZ4/VnqsUHBdCnI/AAAAAAAION4/gu7-ykrKjEo/s640/IMG_0724.jpg)
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWAZIRI wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk.Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo mengine ili kubaini mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi hiyo chini ya kaimu mkurugenzi huyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mkuu wa mkoa amsimamisha kazi mhandisi wa wilaya
9 years ago
Habarileo19 Oct
JK ateua mkurugenzi mkuu TPA
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Awadh Massawe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Rais alitangaza uamuzi huo Ijumaa iliyopita wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo inayotajwa kuwa kubwa katika Afrika.
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...