MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AZINDUA DUKA JIPYA LA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-BHeBLgL2rtM/VW53PEyy8SI/AAAAAAAAQQ8/uDlkW1fY-BM/s72-c/E86A8983%2B%2528800x533%2529.jpg)
Duka jipya la kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi,Tigo lafunguliwa mjini Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya la kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.wengine wanaoshuhudia toka kulia ni mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga,Meneja huduma kwa wateja kanda ya kaskazini,Gwamaka Mwakilembe na kushoto ni Meneneja wa Ubora wa Huduma ka wateja ,Mwangaza Matotola.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dstpZLHTlg4/VW_T48ZL_EI/AAAAAAAAQW8/y-fMdNDSaAY/s72-c/E86A9178%2B%2528800x533%2529.jpg)
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CHAKULA ULIOFADHILIWA NA TANAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-dstpZLHTlg4/VW_T48ZL_EI/AAAAAAAAQW8/y-fMdNDSaAY/s640/E86A9178%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2bFU8A5oYfQ/VW_T43eFOLI/AAAAAAAAQW0/xJyE1A_tyC0/s640/E86A9182%2B%2528800x533%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
DC Singida azindua duka jipya la kisasa la mtandao wa simu za mkononi la Halotel
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi akikata utepe kuzindua duka jipya la mtandao mpya wa simu za Mkononi wa Halotel katika hafla fupi ya uzinduzi wa duka hilo uliofanyika jana kwenye viwanja vya ofisi za kampuni hiyo eneo la Stendi ya zamani.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Saidi Amanzi akizungumza na wafanyakazi wa Halotel kabla ya kukata utepe kuzindua duka jipya Mkoani Singida jana.
Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, Khanh Duy akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya...
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
Kampuni ya Tigo yafungua Duka jipya la kisasa Sumbawanga Mjini
Katibu tawala mkoa wa Rukwa, ndugu Smythies Pangisa(kulia) akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Sumbawanga mjini, kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kusini Jackson Kiswaga na katikati ni meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana.
Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya kusini, Laverty Khana(katikati) akitoa maelekezo kwa mgeni rasmi Katibu tawala mkoa wa Rukwa ndugu Smythies Pangisa jinsi watakavyo hudumia wateja,...
9 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo yawawezesha waendesha BodaBoda Jijini Mwanza
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania yatoa TSH. Milioni 200 kudhamini Kilimanjaro Marathon 2016!
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Tigo yazindua Duka Jipya Ifakara
Katibu Tawala wilaya ya Kilombero ndugu Yahya Naniya akikata utepe ikiwa ni ishara rasmi ya uzinduzi wa duka la Tigo lililopo Ifakara mjini, kutoka kushoto ni Meneja wa operesheni kwa wateja Tigo kanda ya Pwani, Isack Shoo, Inspekta Dotto Ngimbwa kutoka ofisi ya OCD Kilombero na mwisho kulia Mkurugenzi wa Tigo kanda ya mashariki Goodluck Charles.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya mashariki, Goodluck Charles akizungumza machache kwenye hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Katibu...
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Tigo yazindua Duka jipya Moshi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama aikata utepe kuzindua rasmi Tawi la Tigo Moshi Mjini jana, wanaoshuhudia kulia ni Gwamaka Mwakilembe, Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini na kushoto ni Meneja wa ubora huduma kwa wateja Tigo, Mwangaza Matotola.
Meneja huduma kwa wateja Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama juu ya bidhaa zilizopo ndani ya Duka la Tigo lililozinduliwa Moshi Mjini jana.
Kampuni ya simu...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Tigo yafungua duka jipya Songea
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imefungua duka jipya la huduma kwa wateja mjini Songea. Duka hilo litarahisisha upatikanaji wa huduma zake kwa wateja, ambao awali walikuwa hawana namna ya kupata huduma za moja kwa moja kutoka kwenye kampuni hiyo ya simu.