Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwasa sasa ajiamini

Wakati timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ ikiwasili alfajiri ya leo kutoka Uturuki, kocha mkuu  Charles Mkwasa ameelezea kambi hiyo kuwa ilikuwa yenye mafanikio makubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKWASA: MPIRA WA SASA HAUNA MWENYEWE

Kocha wa Taifa Stars mzawa, Charles Boniface Mkwasa. *Aizungumzia kambi ya Taifa Stars Afrika Kusini Na Saleh Ally KIKOSI cha timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kimeweka kambi jijini Johannesburg,  Afrika Kusini kujiandaa na mechi dhidi ya Algeria. Stars itaivaa Algeria katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018. Mechi hiyo itapigwa Novemba 14 jijini Dar es Salaam, kabla ya kurudiana Novemba 17 jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkwasa sasa aja na mikakati kuikabili Algeria

Wakati timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars  ikitarajiwa kushuka dimbani Novemba 14 dhidi ya Algeria, kocha wa timu hiyo, Charles Mkwasa ameeleza kuwa muda wa maandalizi ya mchezo huo ni mdogo na kwamba ataongeza wachezaji wanne kwenye kikosi chake.

 

9 years ago

Habarileo

Ni ushindi tu -Mkwasa

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema wanatarajia kutumia mfumo wa mashambulizi kuwadhibiti wapinzani wao Malawi katika mchezo wa marudiano utakaochezwa kesho nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF yampongeza Mkwasa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa ‘Master’ kwa kupata nafasi ya kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van Pluijm katika...

 

9 years ago

TheCitizen

Mkwasa calls for more professionals

Taifa stars head coach, Charles Boniface Mkwasa has said that the team will be a force to reckon with should more local players get involved in professionalism football abroad.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

TheCitizen

Mkwasa: Stars can still advance

The national soccer team head coach, Charles Mkwasa, believes that his side will upset Algeria in Algiers tomorrow and book their place in group stage of the 2018 World Cup qualifiers.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkwasa:Tumecheza vizuri

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania,Charles Boniface amesema timu yake ilijitahidi licha ya kutolewa na wenyeji Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani