Ni ushindi tu -Mkwasa
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema wanatarajia kutumia mfumo wa mashambulizi kuwadhibiti wapinzani wao Malawi katika mchezo wa marudiano utakaochezwa kesho nchini humo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Mkwasa aunda ‘jeshi’ la ushindi
Kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa ametangaza benchi zito la ufundi linalojumuisha wachezaji maarufu wa zamani, Peter Manyika anayekuwa kocha wa makipa, Hussein Sued akiwa mtunza vifaa, Abdallah Kibaden anayekuwa mshauri mkuu na Juma Mgunda akiwa meneja.
11 years ago
TheCitizen06 Mar
Mkwasa: We’ll attack Al Ahly
Young Africans assistant head coach Boniface Mkwasa expects an attacking Al Ahly side when they lock horns in the second leg of the first round of the Caf Champions League on Sunday.
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Mkwasa ‘anuka’ fedha
Boniface Mkwasa (pichani) anakuwa kocha ghali zaidi Mtanzania baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza kumlipa Dola 12,500 (Sh28 milioni) kwa kukubali kuchukua jukumu la kuinoa Taifa Stars.
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Mkwasa sasa ajiamini
Wakati timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ ikiwasili alfajiri ya leo kutoka Uturuki, kocha mkuu Charles Mkwasa ameelezea kambi hiyo kuwa ilikuwa yenye mafanikio makubwa.
9 years ago
TheCitizen31 Aug
Mkwasa: We’re ready for Nigerians
Stars face a must-win home match to revive Afcon finals hope after a bad start with 0-3 defeat to the Egyptians
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
TFF yampongeza Mkwasa
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa ‘Master’ kwa kupata nafasi ya kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van Pluijm katika...
9 years ago
TheCitizen18 Nov
Mkwasa calls for more professionals
Taifa stars head coach, Charles Boniface Mkwasa has said that the team will be a force to reckon with should more local players get involved in professionalism football abroad.
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Mkwasa:Tumecheza vizuri
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania,Charles Boniface amesema timu yake ilijitahidi licha ya kutolewa na wenyeji Uganda.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania