Mkwasa sasa aja na mikakati kuikabili Algeria
Wakati timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars ikitarajiwa kushuka dimbani Novemba 14 dhidi ya Algeria, kocha wa timu hiyo, Charles Mkwasa ameeleza kuwa muda wa maandalizi ya mchezo huo ni mdogo na kwamba ataongeza wachezaji wanne kwenye kikosi chake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 Feb
SMZ yaweka mikakati kuikabili changamoto ya wauguzi.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ipo katika mikakati ya kupunguza idadi ndogo ya wauguzi waliopo kwenye hospitali na vituo vya Afya ili iweze kulingana na wastani wa wagonjwa visiwani humo.
Kwa sasa Muuguzi mmoja anahudumia wodi nzima yenye wagonjwa zaidi ya 40 ambayo ni kinyume cha taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO linalotaka muuguzi mmoja ahudumie wagonjwa watano.
Katika mkutano huo mkuu wa 40 wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar ZANA, Naibu Waziri...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qLoUGgIhHCI/VjBKRhXCEhI/AAAAAAABYHw/4q0B5Ka83P0/s72-c/mkwasaserena.png)
MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-qLoUGgIhHCI/VjBKRhXCEhI/AAAAAAABYHw/4q0B5Ka83P0/s640/mkwasaserena.png)
9 years ago
TheCitizen09 Nov
Mkwasa to test his firepower ahead of Algeria clash
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Askofu Gwajima sasa aja kivingine
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Mkwasa sasa ajiamini
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BnBIRgkBRBDaXlh-KDIWkcuf72M5Hx*S6C5IE46leY-YlWYF-S6ZSZR4FLBPZaL5XPeVK0sWymtAD*Wsy2mWcQ1/Mkwasa1.jpg)
MKWASA: MPIRA WA SASA HAUNA MWENYEWE
9 years ago
Habarileo12 Oct
Stars sasa yaisubiri Algeria
TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Malawi `The Flames’ imesonga mbele katika kinyang’anyiro cha kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi 2018.
9 years ago
Vijimambo11 Oct
TANZANIA YAFUNGWA GOLI 1 NA MALAWI LAKINI YAPITA SASA KUKUTANA NA ALGERIA
![Mbwana Samata (kushoto) na Thomas Ulimwengu wakishangilia goli la pili lililofungwa na Ulimwengu](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Stars-vs-Malawi-5.jpg)
Timu ya Tanzania Taifa Stars leo imefuzu kusonga mbele baada ya kufungwa goli 1-0 na Malawi goli lililopatikana katika kipindi cha kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo goli lililofungwa kifundi nje ya 18 na mchezaji machachali wa Malawi John Banda anayevaa jezi nambari 7.
Katika mchezo huo uliochezewa katika uwanja wa Kamuzu jijini...
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Volkswagen kuikabili Mercedes F1