Askofu Gwajima sasa aja kivingine
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameliombea Taifa ili liepukane na ajali za barabarani, akisema nyingi zinasababishwa na kafara zinazofanywa na baadhi ya watu aliowaita wabaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies29 Apr
Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa sasa yupo nchini Burundi, ame ‘share’ nasi baadhi ya picha akiwa mzigoni.
“On SET with brothers filim company in BURUNDi..huu uhusika sijawahi kucheza itakuwa ni tofauti sana..nawapenda wote” –Shamsa ameandika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Picha zaidi jionee hapo juu.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F19iCo2NHtc/VkigXly1mkI/AAAAAAAIF8w/s4NzGrP9xos/s72-c/d033ae22-f21e-40a9-a81d-620481f5be13.jpg)
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Luteni Karama aja kivingine
![](http://2.bp.blogspot.com/-F19iCo2NHtc/VkigXly1mkI/AAAAAAAIF8w/s4NzGrP9xos/s320/d033ae22-f21e-40a9-a81d-620481f5be13.jpg)
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Luteni Karama (kushoto), amefanya ujio mpya wa kimuziki baada ya kuachia ngoma moja kali iitwayo ‘The Way I Feel’ akimshirikisha msanii toka Ufaransa, Jerry Julian (chini) na tayari imeanza kufanya vema kwenye mitandao na vituo vya redio na runinga.
Karama amepasha kuwa, baada ya kimya kirefu, ameamua kurejea kwenye game kwa mtindo tofauti ambapo muelekeo wake unathibitika katika kazi yake mpya ya The Way I Feel ambayo tayari...
10 years ago
Michuzi31 Oct
9 years ago
VijimamboMSANII ORGAN TAI AJA KIVINGINE. AACHIA NGOMA MPYA HUKU PIA AKIBADILI JINA LAKE
Na:George Binagi-GB Pazzo
Inahitaji majibu zaidi japo mwenyewe ameshindwa kutoa majibu hayo kwa hivi sasa, lakini iko hivi; Msanii Organ Tai kutoka Rock City Mwanza ambae ngoma yake ya kwanza iitwayo Haina Noma ilimtambulisha vyema katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ameachana na jina hilo rasmi.
Akizungumza na BMG (Binagi Media Group), Msanii huyo amesema kuwa sababu za kubadili jina lake atazielezea baadae lakini kwa sasa mashabiki...
10 years ago
Habarileo12 Apr
Askofu Gwajima ajipalia makaa
HATUA ya mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kutengeneza ubishi wa kisheria katika agizo la Polisi la kuwasilisha nyaraka za mali za Askofu huyo, imeelezwa kuwa ni ukaidi ambao hautamsaidia kisheria.
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi wamsaka Askofu Gwajima
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Sura mbili za Askofu Gwajima
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68nflh*yi*KOkfEZovvvUmYktR6Vd4*dRitkb*zQqvHoae7HYp4Iq2Xfu5inz5-F4V6UVwhCnPnOaBlWRT20H-9/Gwajima.jpg?width=650)
KILICHOMPONZA ASKOFU GWAJIMA CHAJULIKANA