Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Luteni Karama aja kivingine

Na Kaka Mwinyi


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Luteni Karama (kushoto), amefanya ujio mpya wa kimuziki baada ya kuachia ngoma moja kali iitwayo ‘The Way I Feel’ akimshirikisha msanii toka Ufaransa, Jerry Julian (chini) na tayari imeanza kufanya vema kwenye mitandao na vituo vya redio na runinga.


Karama amepasha kuwa, baada ya kimya kirefu, ameamua kurejea kwenye game kwa mtindo tofauti ambapo muelekeo wake unathibitika katika kazi yake mpya ya The Way I Feel ambayo tayari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MSANII ORGAN TAI AJA KIVINGINE. AACHIA NGOMA MPYA HUKU PIA AKIBADILI JINA LAKE

Msanii Organ Tai ambae kwa sasa anajulikana kwa jina la January.
Na:George Binagi-GB Pazzo

Inahitaji majibu zaidi japo mwenyewe ameshindwa kutoa majibu hayo kwa hivi sasa, lakini iko hivi; Msanii Organ Tai kutoka Rock City Mwanza ambae ngoma yake ya kwanza iitwayo Haina Noma ilimtambulisha vyema katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ameachana na jina hilo rasmi.

Akizungumza na BMG (Binagi Media Group), Msanii huyo amesema kuwa sababu za kubadili jina lake atazielezea baadae lakini kwa sasa mashabiki...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua

Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.

 

9 years ago

Bongo5

Enrico adai ubora wa muziki wa Bongo Flava umeshuka

Mtayarishaji wa muziki wa Sound Crafters, Enrico amesema nyimbo zote zinazotoka miaka ya hivi karibuni hazina ubora sababu ambayo anadai inasababisha zisidumu. “Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea,” alisema. “Hakuna Bongo Flava ya kukaa miaka miwili,” Enrico aliambia E-Newz ya EATV Pia Enrico […]

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII WA BONGO FLAVA TOKA UGIRIKI ANAYESUMBUA PANDE HIZO


Kijana michael jackson kwa umaarufu wake hapa nchini Ugiriki lakini jina lake kamili ni juma ramadhani amabaye anayekuja kwa kasi kali mno hapa jijini Athens kwa nyimbo zake za bongo fleva na utoa show mbali mbali kwenye kumbi za hapa Ugiriki hususani kwenye fest vall na n.k hivi sasa kijana huyuu amepata wadhamini kadha kutoka nchi za nje akisubili mipango yake tutazidi kuwaeleza baadae na hata baadhi ya waimbaji wa kibongo waliowahi kuja hapa wanamjuwa kwa machachali yake anapokuwa...

 

10 years ago

GPL

LUTENI KARAMA ALIVYOMVISHA PETE YA UCHUMBA ISABELA MPANDA

Luteni Karama akijiandaa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, Isabela Mpanda. Karama akionyesha pete ya uchumba. Wapambe wakiwa…

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima sasa aja kivingine

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameliombea Taifa ili liepukane na ajali za barabarani, akisema nyingi zinasababishwa na kafara zinazofanywa na baadhi ya watu aliowaita wabaya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford  ambaye kwa sasa yupo nchini  Burundi, ame ‘share’ nasi baadhi ya picha akiwa mzigoni.

“On SET with brothers filim company in BURUNDi..huu uhusika sijawahi kucheza itakuwa ni tofauti sana..nawapenda wote” –Shamsa ameandika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

Picha zaidi jionee hapo juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani