Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mkude simba aja kivingine, aangusha single mpya "Kitu Kidogo"

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MSANII ORGAN TAI AJA KIVINGINE. AACHIA NGOMA MPYA HUKU PIA AKIBADILI JINA LAKE

Msanii Organ Tai ambae kwa sasa anajulikana kwa jina la January.
Na:George Binagi-GB Pazzo

Inahitaji majibu zaidi japo mwenyewe ameshindwa kutoa majibu hayo kwa hivi sasa, lakini iko hivi; Msanii Organ Tai kutoka Rock City Mwanza ambae ngoma yake ya kwanza iitwayo Haina Noma ilimtambulisha vyema katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ameachana na jina hilo rasmi.

Akizungumza na BMG (Binagi Media Group), Msanii huyo amesema kuwa sababu za kubadili jina lake atazielezea baadae lakini kwa sasa mashabiki...

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima sasa aja kivingine

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameliombea Taifa ili liepukane na ajali za barabarani, akisema nyingi zinasababishwa na kafara zinazofanywa na baadhi ya watu aliowaita wabaya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Shamsa Aja Kivingine Kutokea Burundi

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford  ambaye kwa sasa yupo nchini  Burundi, ame ‘share’ nasi baadhi ya picha akiwa mzigoni.

“On SET with brothers filim company in BURUNDi..huu uhusika sijawahi kucheza itakuwa ni tofauti sana..nawapenda wote” –Shamsa ameandika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

Picha zaidi jionee hapo juu.

 

9 years ago

Michuzi

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Luteni Karama aja kivingine

Na Kaka Mwinyi


Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Luteni Karama (kushoto), amefanya ujio mpya wa kimuziki baada ya kuachia ngoma moja kali iitwayo ‘The Way I Feel’ akimshirikisha msanii toka Ufaransa, Jerry Julian (chini) na tayari imeanza kufanya vema kwenye mitandao na vituo vya redio na runinga.


Karama amepasha kuwa, baada ya kimya kirefu, ameamua kurejea kwenye game kwa mtindo tofauti ambapo muelekeo wake unathibitika katika kazi yake mpya ya The Way I Feel ambayo tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajawazito walalamika kuombwa ‘kitu kidogo’

BAADHI ya kina mama hasa wajawazito wa vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Simambwe kwa kuwaomba ‘kitu...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kitale Ft. Mide Zo & Stanbakora – Kitu Kidogo

Mchekeshaji Kitale ambaye pia ni msanii wa bongo Fleva amechaia wimbo mpya unaitwa “Kitu Kidogo” amewashirikisha Midezo na Stanbakora. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

Mkude: Sijasaini Simba

Kiungo wa Simba, Jonas Mkude. HABARI ni kuwa, Klabu ya Yanga inamhitaji kwa nguvu zote kiungo wa Simba, Jonas Mkude ambaye ili kumshawishi abaki klabuni hapo, uongozi wa Simba ukaamua kumpa gari, lakini mchezaji huyo ametoa kauli nzito. Mkude ambaye amekabidhiwa gari aina ya Toyota GX 115, ameliambia gazeti hili kuwa, mkataba wake na Simba uliobaki ni ule wa miezi sita pekee na kusisitiza kuwa hajasaini mkataba wowote...

 

11 years ago

Michuzi

mambo ya e-fm 93.7 na mkude simba

Hapana shaka umeshamsikia Mkude Simba kwenye mitandao, hasa Whatsapp, akichana watu mbavu kwa lafudhi yake ya Kiluguru na vituko kibao. Kama hujamsikia basi Mkude Simba ndio gumzo la mujini hivi sasa. Naye anapatikana katika kituo kipya cha redio inayokuja juu kwa kasi nchini E-FM 93.7 ambapo usiku ni ngoma ya mchiriku kwa kwenda mbele....Hehehheee Pia kituo hicho cha vijana kinarusha vituzzzz live BOFYA HAPA ama hapo juu katika Globu ya Jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani