mambo ya e-fm 93.7 na mkude simba

Hapana shaka umeshamsikia Mkude Simba kwenye mitandao, hasa Whatsapp, akichana watu mbavu kwa lafudhi yake ya Kiluguru na vituko kibao. Kama hujamsikia basi Mkude Simba ndio gumzo la mujini hivi sasa. Naye anapatikana katika kituo kipya cha redio inayokuja juu kwa kasi nchini E-FM 93.7 ambapo usiku ni ngoma ya mchiriku kwa kwenda mbele....Hehehheee
Pia kituo hicho cha vijana kinarusha vituzzzz live BOFYA HAPA ama hapo juu katika Globu ya Jamii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Mkude: Bondeni mambo magumu
KIUNGO mkabaji wa Simba Jonas Mkude, aliyekuwa majaribio ya wiki mbili Afrika Kusini, kwenye klabu ya Bidvest Witts, amesema mazoezi ya timu hiyo ni magumu, toafuti na alivyozoea akiwa na klabu yake.
Mkude, aliyerejea nchini na kujiunga na klabu yake ya Simba alisema, kwa siku walikuwa wakifanya mazoezi ya saa nne bila kupumzika.
Akizungumza na Raia Tanzania, kiungo huyo alisema mazoezi ya nchini humo yanahitaji mchezaji ajiandae kwa vitu vingi ikiwemo hali ya hewa kwa mchezaji...
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA: AAAAAAAALO!
10 years ago
GPL
Mkude: Sijasaini Simba
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Mkude kujifua kinoma Simba
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Mkude awazia ubingwa Simba
11 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jonas Mkude arejea Simba
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mil. 60 zamshika Mkude Simba
HATIMAYE klabu ya Simba imefanikiwa kumbakiza kiungo wake Jonas Mkude aliyekuwa akimezewa mate na timu za Yanga ama Azam FC katika dirisha la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Novemba 15, baada ya...
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Wazo la Mkude Simba Si Mchezo- Kitale
HAIKUWA rahisi kugundua na kubaini vibwagizo vya Mkude Simba vilivyoibuka ghafla kuteka jiji la Dar es Salaam pamoja na nchini nzima mwasisi wa wazo hilo alikuwa ni Mussa Kitale ‘Mkude Simba’ anasema kuwa wazo hilo liliandaliwa kwa muda wa miaka miwili na kuja kuteka umma.
“Wazo la Mkude Simba nilikuwa nalo toka mwaka 2012 lakini nilipokuwa najaribu kulitumia baadhi ya Redio zilishindwa kunielewa, lakini Efm walinielewa na kutumia vibwagezo vyangu vya Mkude Simba,”anasema Kitale.
Kitale...
10 years ago
GPL
MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC