Mkude: Bondeni mambo magumu
KIUNGO mkabaji wa Simba Jonas Mkude, aliyekuwa majaribio ya wiki mbili Afrika Kusini, kwenye klabu ya Bidvest Witts, amesema mazoezi ya timu hiyo ni magumu, toafuti na alivyozoea akiwa na klabu yake.
Mkude, aliyerejea nchini na kujiunga na klabu yake ya Simba alisema, kwa siku walikuwa wakifanya mazoezi ya saa nne bila kupumzika.
Akizungumza na Raia Tanzania, kiungo huyo alisema mazoezi ya nchini humo yanahitaji mchezaji ajiandae kwa vitu vingi ikiwemo hali ya hewa kwa mchezaji...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimambo ya e-fm 93.7 na mkude simba
11 years ago
Habarileo09 Mar
Mambo magumu Bunge la Katiba
KURA ya siri au ya wazi ambayo jana ilikuwa ipatiwe ufumbuzi na kamati ya mashauriano, imeshindikana tena kwa kile kinachoelezwa kuwa wajumbe wa kamati hiyo kushindwa kuafikiana. Eneo lingine ambalo ni moto kwa Bunge Maalumu ni juu ya utaratibu wa Bunge hilo kufanya uamuzi ambao rasimu inaelekeza kuwa ili hoja au ibara ipite ni lazima iungwe mkono na wajumbe theluthi mbili kutoka Bara na theluthi mbili kutoka Visiwani.
10 years ago
Habarileo06 May
Mambo magumu bajeti Maliasili
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeomba kuongezewa muda wa kufanyia marekebisho maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii iliyotaka wizara hiyo kutekeleza maagizo, ikiwemo utekelezaji wa tozo mpya za viingilio kwenye hifadhi ya Taifa.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Tido Mhando:Mambo magumu zaidi
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Mambo magumu Ligi Kuu Bara
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MAMBO magumu! Hiyo ndiyo hali halisi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu, baada ya kutokea mchuano mkali miongoni mwa timu shiriki.
Mchuano huo mpaka sasa umeonekana kuzihusu zaidi timu zinazoshika nafasi ya kwanza hadi ya 10 kwenye msimamo wa ligi, huku timu za Simba, Yanga na Azam zikipewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa.
Ligi imefikia raundi ya saba huku baadhi ya timu zikicheza mechi sita lakini pia tofauti ya pointi katika msimamo...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Wanaojipitisha urais mambo sasa magumu
MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopewa adhabu kutokana na kuanza harakati za kuomba ridhaa kugombea urais, baadhi yao wako katika hatihati ya ama kuongezewa adhabu au kuenguliwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Mambo manne magumu Bunge Maalumu la Katiba
11 years ago
GPLBrazil mambo magumu, Algeria yala kipondo
9 years ago
Habarileo13 Sep
Vijana watano wafuzu majaribio Bondeni
WACHEZAJI watano kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 wamefuzu majaribio ya kucheza soka katika klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.