Wazo la Mkude Simba Si Mchezo- Kitale
HAIKUWA rahisi kugundua na kubaini vibwagizo vya Mkude Simba vilivyoibuka ghafla kuteka jiji la Dar es Salaam pamoja na nchini nzima mwasisi wa wazo hilo alikuwa ni Mussa Kitale ‘Mkude Simba’ anasema kuwa wazo hilo liliandaliwa kwa muda wa miaka miwili na kuja kuteka umma.
“Wazo la Mkude Simba nilikuwa nalo toka mwaka 2012 lakini nilipokuwa najaribu kulitumia baadhi ya Redio zilishindwa kunielewa, lakini Efm walinielewa na kutumia vibwagezo vyangu vya Mkude Simba,”anasema Kitale.
Kitale...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Kitale kutoka na video za Mkude Simba
MSANII wa filamu na vichekesho nchini, Mussa Kitale ‘Kitale’, amesema kutokana na mafanikio aliyoyapata katika programu ya miito ya simu kwa kutumia vichekesho vyake vya ‘Mkude Simba’ sasa anatarajia kutoa...
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
9 years ago
Bongo505 Dec
Makampuni yanapishana kununua vichekesho vya ‘Mkude Simba’ – Kitale
Kitale na Stan Bakora wanaotengeneza vichekesho vya sauti vya ‘Mkude Simba’ wamesema makampuni mengi yamekuwa yakihitaji vichekesho vyao lakini yameshindwa kuvitumia kutokana na kushindwa kufikia makubaliano.
Kitale ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa kuna kampuni kubwa ambayo wanajipanga kuingia nayo mkataba.
“Mkude Simba tayari ameshatunufaisha sana, kampuni nyingi zinataka kufanya kazi na sisi lakini wakija wakasikiliza masharti yetu hawarudi tena, yaani kampuni kubwa zote zinapishana...
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA: AAAAAAAALO!
10 years ago
GPLMkude: Sijasaini Simba
11 years ago
Michuzimambo ya e-fm 93.7 na mkude simba
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jonas Mkude arejea Simba
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Mkude kujifua kinoma Simba
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mil. 60 zamshika Mkude Simba
HATIMAYE klabu ya Simba imefanikiwa kumbakiza kiungo wake Jonas Mkude aliyekuwa akimezewa mate na timu za Yanga ama Azam FC katika dirisha la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Novemba 15, baada ya...