Makampuni yanapishana kununua vichekesho vya ‘Mkude Simba’ – Kitale
Kitale na Stan Bakora wanaotengeneza vichekesho vya sauti vya ‘Mkude Simba’ wamesema makampuni mengi yamekuwa yakihitaji vichekesho vyao lakini yameshindwa kuvitumia kutokana na kushindwa kufikia makubaliano.
Kitale ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa kuna kampuni kubwa ambayo wanajipanga kuingia nayo mkataba.
“Mkude Simba tayari ameshatunufaisha sana, kampuni nyingi zinataka kufanya kazi na sisi lakini wakija wakasikiliza masharti yetu hawarudi tena, yaani kampuni kubwa zote zinapishana...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Wazo la Mkude Simba Si Mchezo- Kitale
HAIKUWA rahisi kugundua na kubaini vibwagizo vya Mkude Simba vilivyoibuka ghafla kuteka jiji la Dar es Salaam pamoja na nchini nzima mwasisi wa wazo hilo alikuwa ni Mussa Kitale ‘Mkude Simba’ anasema kuwa wazo hilo liliandaliwa kwa muda wa miaka miwili na kuja kuteka umma.
“Wazo la Mkude Simba nilikuwa nalo toka mwaka 2012 lakini nilipokuwa najaribu kulitumia baadhi ya Redio zilishindwa kunielewa, lakini Efm walinielewa na kutumia vibwagezo vyangu vya Mkude Simba,”anasema Kitale.
Kitale...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Kitale kutoka na video za Mkude Simba
MSANII wa filamu na vichekesho nchini, Mussa Kitale ‘Kitale’, amesema kutokana na mafanikio aliyoyapata katika programu ya miito ya simu kwa kutumia vichekesho vyake vya ‘Mkude Simba’ sasa anatarajia kutoa...
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
11 years ago
MichuziRadio 5 yapongezwa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani.
Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza Radio 5, wakati wa burudani ya wachekeshaji wa majukwaani iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Golden Tulip. Burudani hiyo ambayo ilifana sana iliwajumuisha mchekeshaji kutoka Uganda, mwanadada Anne Kansiime, Fred Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia onyesho hilo, mmoja ya...
10 years ago
Michuzi19 Nov
10 years ago
Bongo524 Feb
Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gog-T69WYao/U7BfTHWAGFI/AAAAAAAFtgk/aVs9PEzHOjs/s72-c/article-2673148-1F3648D200000578-549_636x382.jpg)
Nike yaongoza mtanange wa makampuni ya vifaa vya michezo katika kombe la dunia Brazil
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gog-T69WYao/U7BfTHWAGFI/AAAAAAAFtgk/aVs9PEzHOjs/s1600/article-2673148-1F3648D200000578-549_636x382.jpg)
Uwezo wa kifedha wa Nike unaipaisha kampuni hiyo katika vita vya Kombe la Dunia 2014 kwa kuiongoza kampuni ya Adidas kwa mabao 4 katika awamu ya makundi ya michuano hiyo huko Brazil. Kampuni ya Nike ambayo ndio kubwa zaidi duniani kwa vifaa vya michezo imeonesha umwamba wake baada ya nyota inayowadhamini kufunga mabao 61 katika awamu hiyo ya makundi, huku Adidas ikifuatia kwa magoli 57. Lakini Adidas wanaweza kupata ahueni kwa kuwa na njumu bora,...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ySqmXXSXWMI/UvPw5-kjiaI/AAAAAAAAdfc/Kg_ZHcBnWE4/s72-c/1640.jpg)
HOSPITALI ZATAKIWA ZITUMIE VYANZO VINGINE VYA KUNUNUA DAWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ySqmXXSXWMI/UvPw5-kjiaI/AAAAAAAAdfc/Kg_ZHcBnWE4/s1600/1640.jpg)
Dkt. Kebwe alisema hayo jana wilayani Masasi Mkoani Mtwara katika ziara ya kwanza toka uteuzi wake kutoka kwa Rais Kikwete wakati akiwa na kamati ya kudumu ya Bunge huduma za jamii kukagua taratibu za usambazaji dawa vituo na hospitali za...
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Kwanini mahitaji ya kununua mahandaki duniani yameongezeka