Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yaweka mikakati kuikabili changamoto ya wauguzi.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ipo katika mikakati ya kupunguza idadi ndogo ya wauguzi waliopo kwenye hospitali na vituo vya Afya ili iweze kulingana na wastani wa wagonjwa visiwani humo.

 

Kwa sasa Muuguzi mmoja anahudumia wodi nzima yenye wagonjwa zaidi ya 40 ambayo ni kinyume cha taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO linalotaka muuguzi mmoja ahudumie wagonjwa watano.

 

Katika mkutano huo mkuu wa 40 wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar ZANA, Naibu Waziri...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mkwasa sasa aja na mikakati kuikabili Algeria

Wakati timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars  ikitarajiwa kushuka dimbani Novemba 14 dhidi ya Algeria, kocha wa timu hiyo, Charles Mkwasa ameeleza kuwa muda wa maandalizi ya mchezo huo ni mdogo na kwamba ataongeza wachezaji wanne kwenye kikosi chake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yaweka mikakati ya kuinua utalii

Kenya imeamua kuchukua kupunguza gharama za utalii, kuwavutia watalii wa ndani na nje katika hatua ya kuinua sekta ya utalii

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa wauguzi

Wauguzi na waganga wameshauriwa kujenga tabia ya huruma ikiwamo kuthamini, kuheshimu na kuwasaidia wazee pindi wanapokwenda katika vituo vya afya,zahanati na hospitali kupata matibabu.

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWEKA WAZI MIKAKATI KUFANIKISHA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA NISHATI UKANDA WA SADC


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said akizungumza katika Mkutano wa Wataalam wa Nishati kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) alipowasili kufungua Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, leo Jijini Dar es Salaam.Picha na Michuzi JR.
Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena akizungumza katika Mkutano wa Wataalam wa Nishati...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.  Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA WIZARA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YAWEKA MIKAKATI YA PAMOJA KULILINDA BWAWA LA NYERERE MW 2115.


NaFarida Saidy,Morogoro.

Kufuatia athari zilizojitokeza za mafuriko kwa baadhi ya vijiji vya wilaya ya kilombero mkoani Morogoro baada ya maji kufunguliwa katika bwawa la kufua umeme la Kidatu mawaziri wawili wa Nishati Dkt.Medard Kalemani na Mussa Zungu wa Muungano na Mazingira wamefanya ziara ya kukagua madhara yaliyojitokeza katika Wilaya hiyo.

Lengo la ziara hiyo ni kunagalia namna ya kudhibiti uharibufu uliojitokeza katika mabwawa ya kuzalishia umeme ya Mtera na Kidatu,ambapo Waziri wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kupitia kauli mbiu ya mwaka 2015, tuangalie changamoto za sekta ya utalii na kutafuta mikakati ya kuzikabili

utalii 1

Ni siku chache tu zimepita, Tanzania imesheherekea siku ya utalii duniani kwa kauli mbiu “Mamilioni ya watalii ni mamilioni ya fursa” ambapo kauli mbiu hii imekuwa na lengo zuri la kuweka vipaumbele vya kimaendeleo katika sekta ya utalii Tanzania.

Tanzania, kati ya nchi za Umoja wa Mataifa, huadhimisha siku kuu hii kila tarehe 27 ya mwezi Septemba ya kila mwaka, kwa lengo kubwa la kuhamasisha uelewa juu ya sekta ya utalii na mchango wake katika jamii.

Ban Ki-moon, Katibu mkuu wa Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani