Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAWEKA WAZI MIKAKATI KUFANIKISHA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA NISHATI UKANDA WA SADC


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said akizungumza katika Mkutano wa Wataalam wa Nishati kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) alipowasili kufungua Mkutano huo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, leo Jijini Dar es Salaam.Picha na Michuzi JR.
Mkurugenzi wa Miundombinu Sekritarieti ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mapolao Rosemary Makoena akizungumza katika Mkutano wa Wataalam wa Nishati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA WIZARA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YAWEKA MIKAKATI YA PAMOJA KULILINDA BWAWA LA NYERERE MW 2115.


NaFarida Saidy,Morogoro.

Kufuatia athari zilizojitokeza za mafuriko kwa baadhi ya vijiji vya wilaya ya kilombero mkoani Morogoro baada ya maji kufunguliwa katika bwawa la kufua umeme la Kidatu mawaziri wawili wa Nishati Dkt.Medard Kalemani na Mussa Zungu wa Muungano na Mazingira wamefanya ziara ya kukagua madhara yaliyojitokeza katika Wilaya hiyo.

Lengo la ziara hiyo ni kunagalia namna ya kudhibiti uharibufu uliojitokeza katika mabwawa ya kuzalishia umeme ya Mtera na Kidatu,ambapo Waziri wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yaweka mikakati ya kuinua utalii

Kenya imeamua kuchukua kupunguza gharama za utalii, kuwavutia watalii wa ndani na nje katika hatua ya kuinua sekta ya utalii

 

10 years ago

StarTV

SMZ yaweka mikakati kuikabili changamoto ya wauguzi.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ipo katika mikakati ya kupunguza idadi ndogo ya wauguzi waliopo kwenye hospitali na vituo vya Afya ili iweze kulingana na wastani wa wagonjwa visiwani humo.

 

Kwa sasa Muuguzi mmoja anahudumia wodi nzima yenye wagonjwa zaidi ya 40 ambayo ni kinyume cha taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO linalotaka muuguzi mmoja ahudumie wagonjwa watano.

 

Katika mkutano huo mkuu wa 40 wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar ZANA, Naibu Waziri...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

NEC YAWEKA WAZI DAFTARI LA AWALI, ARUSHA

Na Ashura Mohamed -Arusha

Tume ya taifa  ya  Uchaguzi (NEC) kupitia Ofisi ya Afisa Mwandikishaji  ambae ni  Mkurugenzi wa Halmashauri ya  Jiji la Arusha imesema kuwa itaweka wazi Daftari la Awali la  Wapiga Kura kwa siku nne mfululizo.

Akizungumza na waandishi wa  habari  jijini Arusha pamoja na wawakilishi wa Vyama vya Siasa mkoani Arusha,Afisa Uandikishaji  Msaidizi  wa Jiji hilo,Misena Bina,alisema  daftari litakuwa wazi kuanzia  June 17-20, katika vituo vilivyotumika awali wakati  wa...

 

5 years ago

Michuzi

TTB YAKUTANA NA MABALOZI KUWEKA MIKAKATI YA KUTANGAZA UTALII, UKANDA WA ASIA, AUSTRALASIA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TTB, Jaji Thomasi Mihayo (katikati), Mkurugenzi Mwendeshajiwa TTB, Devota Mdachi pamoja na Bw. Caesar Waitara wa Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa ndani ya chumba cha mkutano katika ofisi za TTB. Baadhi ya wafanyakazi wa TTB wanaosimamia masoko ya utalii ya ukanda wa Asia na Australasia wakifuatilia mazungumzo wakati wa mkutano.
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWEKA WAZI JINSI ITAKAVYOTEKELEZA MATOKEO MAKUBWA SASA 'BRN'

Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, hivi karibuni. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la utaratibu wa kutimiza utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now). ************************************************* Na Sufianimafoto Reporter wizara ya fedha imeeleza wazi kuhusu mipango yake ya kutekeleza matokeo makubwa sasa(BRN) ikiwa ni...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt.Mwakyembe: SADC Inatambua Mchango wa Wanahabari wa Ukanda Huu wa Afrika

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua Mkutano wa Kamati ya Kutafuta Washindi wa Tuzo za Waandishi wa Habari za SADC uliofanyika kwa njia ya video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifuatilia nyimbo za taifa kutoka Tanzania na Nchi wanachama wa SADC muda mfupi kabla ya kufugua Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya video ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani