Changamoto kwa wauguzi
Wauguzi na waganga wameshauriwa kujenga tabia ya huruma ikiwamo kuthamini, kuheshimu na kuwasaidia wazee pindi wanapokwenda katika vituo vya afya,zahanati na hospitali kupata matibabu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 Feb
SMZ yaweka mikakati kuikabili changamoto ya wauguzi.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ipo katika mikakati ya kupunguza idadi ndogo ya wauguzi waliopo kwenye hospitali na vituo vya Afya ili iweze kulingana na wastani wa wagonjwa visiwani humo.
Kwa sasa Muuguzi mmoja anahudumia wodi nzima yenye wagonjwa zaidi ya 40 ambayo ni kinyume cha taratibu za Shirika la Afya Duniani WHO linalotaka muuguzi mmoja ahudumie wagonjwa watano.
Katika mkutano huo mkuu wa 40 wa Jumuiya ya Wauguzi Zanzibar ZANA, Naibu Waziri...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKEq0zL6lrq-jWDR0vdZ5I-T-x*M4Wk38Qdab2YSwApzDcTCrRAOwj9a8FmNBfx0RLbqQ8P*5kPcrYrv2smfuwS/nesiiiii2.jpg?width=650)
JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Wauguzi kizimbani kwa kuondoa dripu
![Jiji la Mwanza](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/jiji-la-mwanza.jpg)
Jiji la Mwanza
NA JUDITH NYANGE, MWANZA.
WAUGUZI wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa kwa wagonjwa pamoja na kuwaondolea mgonjwa matone maji ya dawa maarufu kama dripu.
Akiwasomea shtaka la kwanza mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahamaka ya Mkoa wa Mwanza, Abeisiza Laurian, Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Lenin Njau alisema watuhumiwa Joyce Mongu na Marystela Winfred wote wakiwa wauguzi wa Hospitali ya Wilaya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Wajawazito na adha waipatayo kwa wauguzi
UDAKTARI, uuguzi na ukunga zinajulikana kama kazi za wito, hivyo kila anayezifanya lazima awe mkarimu na mpole kwa wagonjwa. Lakini siku zinavyozidi kwenda, sifa hizo zinazidi kutoweka. Inawezekana kutokana na...
11 years ago
Habarileo11 Mar
Serikali yaonya wauguzi kwa lugha mbaya
SERIKALI imewataka wauguzi nchini kuacha kutoa lugha mbaya kwa wananchi. Badala yake, wametakiwa kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuwa wepesi wa kusahihisha mapungufu ili kuhakikisha huduma sahihi zinatolewa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VT_xuSE_JP4/XqrJMxbF4-I/AAAAAAALoqY/Et_jwdifEhsh56vwLhvXi61TdsBwKtoPACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
BASHUNGWA AWAPONGEZA MUHIMBILI KWA KUTENGENEZA VAZI MAALUMU LA WAUGUZI.
“Nawapongeza hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kutengeneza mavazi maalum (coverall) ya wauguzi Mungu awabariki na kuwalinda wauguzi wetu”.
Aidha, amevipongeza viwanda vyote nchini kwa kuendelea kuhakikisha vinatoa mchango mkubwa kwa kipindi hiki cha kupambana na ugojwa...
9 years ago
StarTV23 Nov
Wauguzi waaswa kujitolea kutoa matibabu kwa Wagonjwa Majumbani
Wauguzi wameaswa kujitolea kutoa huduma za matibabu hasa kwa wagonjwa waliopo majumbani wakubaliane na changamoto wanazopambana nazo kwa sasa.
Kauli hiyo imetolewa na Padre Vidalis Mushi katika kituo cha mafunzo ya wauguzi Camillus jijini Dar es Salaam kutokana na ongezeko la wagonjwa wanaoachwa majumbani akisisitiza umuhimu wa kuwa na wauguzi wa namna hiyo.
Akizumza katika mahafali ya chuo cha mafunzo ya wauguzi cha Camillus jijini Dar es salaam Padre Vidalis Mushi amesema wizara ya afya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JnDAldQkyVU/XrqjlUGOE7I/AAAAAAALp80/v4wUEREwqOAgwQIpv42WFrzHCqbeXvKMgCLcBGAsYHQ/s72-c/798e25e2-e89b-4242-b4ff-d994177dc523.jpg)
Ummy Mwalimu: Tutandelea kutoa ajira kwa wauguzi nchini
Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho ya Siku ya Waguzi Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 12 Mei kila mwaka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wauguzi; Sauti inayoongoza...