Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA-SINZA jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-N_bv-Zsv8R4/U9Ykqy0CfnI/AAAAAAAF7VA/20P3-00Q2_g/s72-c/20140727_153713.jpg)
Picha ya kwanza ni dada Edith Masuki, Cheyzo Uliza na Scola wakiwasilisha zawadi kwa watoto,Wanawake wanaowakilisha na kuunda kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) walipotembelea kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Pichani ni Dada Cheyzo Uliza na Dada Fatma Mgembe wakionesha upendo kwa watoto wadogo zaidi waliopo kituoni hapo.
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakipokea zawadi za Eid zilizoletwa na akina Dada hao wa kundi la MMAA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-N_bv-Zsv8R4/U9Ykqy0CfnI/AAAAAAAF7VA/20P3-00Q2_g/s72-c/20140727_153713.jpg)
kundi la Mkwawa Moja Alumni Association (MMAA) watoa msaada kwa watoto yatima wa kituo cha CHAKUWAMA,Sinza
![](http://3.bp.blogspot.com/-N_bv-Zsv8R4/U9Ykqy0CfnI/AAAAAAAF7VA/20P3-00Q2_g/s1600/20140727_153713.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NUCyfhwYNGI/U9YkoyGfVMI/AAAAAAAF7U4/m-xuh4qvWvs/s1600/20140727_153727.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6R9Tzuxdlmo/U9YksWTOiqI/AAAAAAAF7VI/tziR8XuvoCU/s1600/20140727_153757.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s72-c/DSCF8984.jpg)
VWG watoa msaada kwa yatima wa kituo cha chakuwama jijini dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-TksgcaWB8w8/VlHuMakQpjI/AAAAAAAAvuk/5aZjy8GpptA/s640/DSCF8984.jpg)
VWG iliamua kutembelea kituo hicho ikiwa ni sehemu ya maadhimisho yake ya kutimiza mwaka mmoja toka kuanzishwa kwake.
Akizungumza katika hafla fupi iliyofanyika kituoni hapo, Mwenyekiti wa VWG, Bi....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qnOeMNPIki8/VLEtRk-Wl6I/AAAAAAAG8cw/dWJvyzQQZnY/s72-c/DSCF9545.jpg)
TANESCO YASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA CHAKUWAMA,SINZA JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-qnOeMNPIki8/VLEtRk-Wl6I/AAAAAAAG8cw/dWJvyzQQZnY/s1600/DSCF9545.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jJriTVH01Ac/VLEs1jw4nDI/AAAAAAAG8cQ/pcTtoZVFFTQ/s1600/DSCF9437.jpg)
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA WASIO NA MAKAZI MAALUM (CHAKUWAMA) KILICHOPO SINZA
11 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
TCAA watoa msaada kituo cha yatima cha New Hope Family kilichopo Mwasonga Kigamboni jijini Dar
Mshauri wa Kituo cha kule watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope family Maiko Lugendo, ( kulia) akimuonyesha Afisa habari wa Mamka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Ali Changwila wakati walipokwenda kutoa msaada wa vitumbalimbali vikiwemo vyakula kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya kwenye kituo hicho kilichopo Mwasonga Kata ya Kisarawe 2 Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Hellen Erasto.
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ali...
10 years ago
MichuziUJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziTCAA WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA HNEW HOPE FAMILY KILICHOPO MWASONGA KIGAMBONI JIJINI DAR