Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkwere ateuliwa Balozi ‘Tupe Jina’

MUIGIZAJI wa vichekesho kutoka kundi la Mizengwe, Hemed Khalida ‘Mkwere’, ameula baada ya kuchaguliwa kuwa balozi wa kuhamasisha upatikanaji wa jina la Kampuni ya Simu iliyozinduliwa bila jina. Kampeni hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.


 Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


27 Aprili 2015

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (kulia) kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...

 

9 years ago

Michuzi

KITENGE ATEULIWA KUWA BALOZI WA STARTIMES

Mtangazaji wa michezo wa Kituo cha Radio cha E-FM 93.7 , Maulid Kitenge ameteuliwa na kampuni ya StarTimes kuwa balozi wa kampuni hiyo katika hafla fupi ya kumtambulisha Kitenge kuwa Balozi mpya wa StarTimes iliyofanyika makao makuu ya Kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Aziz Mlima ateuliwa Balozi Malaysia

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Aziz Ponary Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Balozi Maajar ateuliwa Mwenyekiti bodi ya BOA

BALOZI Mwanaidi Sinare Maajar ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Benki ya Afrika (BOA) na kuidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Balozi Maajar alikuwa mjumbe wa Bodi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lupita Nyong'o:ateuliwa balozi wa kulinda Tembo

Lupita Nyong'o wa Kenya ametoka mbali tangu alipopata tuzo ya Oscar ya mchezaji filamu bora msaidizi wa filamu ya mwaka 2013 iitwayo ''Twelve Years a Slave''.

 

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto ateuliwa kuwa balozi wa tuzo za Kora Tanzania

Waandaji wa tuzo za Kora wamemteua Mrisho Mpoto kuwa balozi wake nchini Tanzania. Kora imemtumia barua Mpoto kumtaarifu kuhusu uteuzi huo. “KILA ASUBUHI TUNAOMBA TUPATE NAFASI YA KULETA BABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATU, LEO TIMEPATA ASANTE TUZO ZA KORA KWA KUNICHAGUA KUWA BALOZI WA HERI KWENYE NCHI YANGU  YA TANZANIA NAAMINI TUNAWEZA KUPIGANIA AFRICA ISIYO […]

 

9 years ago

Vijimambo

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.



Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo
Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.
Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani