Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Aziz Mlima ateuliwa Balozi Malaysia

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Aziz Ponary Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aagana na Balozi wa Tanzania Malaysia Dkt. Aziz P. Mlima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Zanzibar mapema leo aliagana na Balozi wa Tanzania nchin Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima, Ikulu  mjini Zanzibar. Balozi ametakiwa kukuza mahusiano mazuri yaliyopo kati nchi zetu mbili pamoja na zingine zinazowakilishwa na Ubalozi wa Tanzania Malaysia, zikiwepo Indonesia, Phillipines, Thailand, Laos, Cambodia na Brunei. Katika kukuza fursa za kiuchumi, uwekezaji, utalii na teknolojia.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho nchini Laos

 Dkt. Aziz Ponary Mlima Balozi wa Tanzania nchini Malaysia akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos Mheshimiwa Choummaly Sayasone. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Vientiane nchini Laos.Dkt Aziz Mlima akifanya mazungumzo na Makamu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Laos ambaye aliwahi kuwa Balozi wa Laos kwenye Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu Mheshimiwa Alounkeo Kittikhoun.Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia unawakilisha nchi nyingine 6 katika...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho kwa Sultan wa Brunei Darussalam.

 Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Sultani wa Brunei Mheshimiwa Haji Hassanal Bolkiah Mu'izzaddin Waddaulah Ibin Al-Marhum Sultan Haji Omar 'Ali Saifuddien Sa'adul Khairi Waddien ambaye ni Sultan na Mtawala wa Brunei Darussalam, Kwa ufupi hii ni moja ya nchi zenye watu wachache, utajiri mkubwa wa mafuta na kiwango kizuri cha maisha ya wananchi wake wenye kipato cha wastani cha USD 43,000 kwa mwaka. Pato la taifa na uchumi...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.


 Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


27 Aprili 2015

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (kulia) kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.  
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...

 

9 years ago

Michuzi

KITENGE ATEULIWA KUWA BALOZI WA STARTIMES

Mtangazaji wa michezo wa Kituo cha Radio cha E-FM 93.7 , Maulid Kitenge ameteuliwa na kampuni ya StarTimes kuwa balozi wa kampuni hiyo katika hafla fupi ya kumtambulisha Kitenge kuwa Balozi mpya wa StarTimes iliyofanyika makao makuu ya Kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani