Mlangi mgombea pekee nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida!!
Mgombea nafasi ya mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Singida,Elia Digha Mlangi,akizungumza kwenye moja ya mikutano yake ya kazi.Digha aliyetetea vema nafasi yake ya udiwani kata ya Msange,ni mugombea pekee katika nafasi hiyo kutokana na halmashauri hiyo kutokuwa na diwani kutoka upande wa upinzani.Picha na Nathaniel Limu. Na Nathaniel Limu [SINGIDA] Diwani mteule (CCM) kata ya Msange tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida,Elia Digha Mlangi,ni mgombea pekee katika nafasi ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Halmashauri ya Singida yapata Makamu Mwenyekiti
Makamu Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya Singida ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Msange tarafa ya Ilongero, Elia Digha.
Na Nathaniel Limu, Singida
Kikao cha baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya Singida, kimemchagua Elia Digha kuwa makamu mwenyekiti kwa kipindi cha mwaka moja,baada ya kupata kura zote 28 za ndio zilizopigwa.
Digha ambaye ni diwani wa kata ya Msange tarafa ya Ilongero kupitia tiketi ya CCM, alipigiwa kura za ndio na hapana kutokana na halmashauri hiyo kutokuwa na...
9 years ago
MichuziMgombea Urais Mwanamke pekee kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Anna MGhwira apiga kura Singida
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Halmashauri ya wilaya ya Singida yatoa chanjo ya Vitamin “A” kwa watoto 39,166
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Mtinko wakiwa kwenye na mabango yenye ujumbe wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika kiwilaya kata ya Ughandi, Singida vijijini.
Vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitumbuiza kwenye sherehe za siku ya mtoto wa Afrika.
Kikundi cha kwaya kilichokuwa kikitoa burudani ya nyimbo mbali mbali zilizokuwa na ujumbe unaoashiria kupiga vita mimba na ndoa za utotoni.
Wanafunzi wa shule mbali mbali za msingi na sekondari...
9 years ago
Michuzi01 Oct
TAASISI YA UONGOZI YAANDAA WARSHA YA NAFASI YA WADAU WA NGAZI YA MKOA, WILAYA NA HALMASHAURI KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA
Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO
Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
11 years ago
Habarileo24 Feb
Watakiwa kutoachia wanaume pekee nafasi ya uenyekiti
WANAWAKE wameshauriwa kujitokeza kuwania nafasi ya uenyekiti wa Bunge Maalumu badala ya kuachia fursa hiyo wanaume pekee.
10 years ago
Bongo512 Mar
Kila mtu ni wa pekee na wa tofauti mpe nafasi katika maamuzi yake
11 years ago
Habarileo24 Jun
Wawili kumkabili Lipumba, Maalim Seif mgombea pekee
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, na Katibu Mkuu wa chama hicho, Seif Sharif Hamad bado wanahitaji kuendelea na nafasi hizo za uongozi kitaifa baada ya kuchukua fomu kuzitetea katika uchaguzi utakaofanyika wiki hii.