MMEACHANA? HAKUNA SABABU YA KUCHUKIANA!
![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXJ6Aky3dCt3WUKiFL86rtecHla-hPjShp1JApXm9jBDvRUvq5auO32Stl0ooeFkhmXinOk1yWXONiFSCXXoIX3o/mahaba.gif?width=650)
Mpenzi msomaji wa XXLove karibu kwenye Jumatatu nyingine mwanana katika ulimwengu wa uhusiano wa kimapenzi.Katika mada yetu tajwa hapo juu, nitazungumza na wale rakifi zangu walioachana au kuachwa na kuanza kumchukia mwenza wake. Ni kweli kuachwa kunaumiza sana moyo. Kimsingi usiombe kukumbwa na maumivu ya kuachwa. Lakini kama hilo limekwishatokea, kwa nini uendelee kuumia na kumchukia aliyekuwa mpenzi wako? Kitendo cha kukuacha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Mghwira: Hakuna sababu ya Watanzania kuwa maskini
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4Jog2ltrlhXuI*K90TE2f-3jaYF9BYdLYcGTzdA1K4X2W033FubQvTKZFxOtlVTQTmuz75JteMnLCqh0vk7sGy*M/CouplesconflictsWithdrawalorexpectingyourpartnertomindreadhurtsrelationshipsbutindifferentways.jpg?width=650)
MMEACHANA, KUNUNIANA NDIYO DAWA?
10 years ago
Bongo506 Feb
Madaktari wamuomba Bobby Brown awaruhusu wazime mashine inayomsaidia Bobbi Kristina kupumua sababu hakuna matumaini
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula