MMG yapata ugeni toka Push Mobile leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-cQ-S0H1YAx0/VTTsxN7qkiI/AAAAAAAHSHM/QVNz9UbQijc/s72-c/DSCF9756.jpg)
Ujumbe wa Kampuni ya Push Mobile kitengo cha SimuTV ukiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Michuzi Media Group (MMG) mara baada ya kufanya mazungumzo juu ya libeneke hilo la SimuTV.Toka kulia ni Mtendaji Mkuu wa MMG, Ankal Issa Michuzi, Mkuu wa Kitengo cha Habari MMG, Cathbert Kajuna, Meneja wa SimuTV, Patricia Michael, Meneja Uendeshaji wa Push Mobile, Jason Hill, Meneja Masoko wa SimuTV, Athanas Muhanuzi, Mkurugenzi wa Uwezeshaji wa MMG, Ahmad Michuzi pamoja na Mkuu wa Uendeshaji wa MMG,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Skimu ya Mpunga Kiroka yapata ugeni mkubwa
Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi walipofanya ziara ya kugagua miradi yao ya maendeleo mkoani Morogoro.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na...
11 years ago
Michuzi31 Jan
SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Push mobile, UN , Wizara kukabili ebola
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento (kushoto) wakitiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa kutoa elimu kwa jamii kupitia ujumbe mfupi maneno katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Mratibu mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa jijini Dar. Anayeshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/FullSizeRender.jpg)
PUSH MOBILE, UN , WIZARA KUKABILI EBOLA
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
UNICEF, Government and Push Mobile Use Technology to Contain Cholera
UNICEF Tanzania’s Representative a.i., Paul Edwards and Freddie Manento, CEO of Push Mobile, sign a partnership to send life-saving information on cholera by SMS to over 10 million Tanzanian mobile users. (Credits: UNICEF Tanzania/2015/Bisin).
Today, Tanzania’s Government, UNICEF and Push Mobile, a mobile communication company providing SMS aggregation services across all the available mobile networks in Tanzania, have signed a partnership to reach over 10 million Tanzanian mobile users...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aUUEBmVkGEY/VQGAhLk0AVI/AAAAAAAHJ3Y/KHbvwBECPEs/s72-c/unnamed.jpg)
Kampuni ya Push Mobile Media yazindua huduma ya kurahisha mawasiliano
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile Media, Freddie Manento alisema kuwa huduma hiyo itamwezesha mtumiaji kufikisha ujumbe muhimu kwa gharama nafuu ikiwa katika sekta mbalimbali...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FewHl6uLwhg/VEe9kKSH4RI/AAAAAAAGsrg/xxO18Gw8QDA/s72-c/unnamed.jpg)
PUSH MOBILE MEDIA LTD, PARTNERS WITH APALYA TECHNOLOGIES FOR OTT VIDEO STREAMING TECHNOLOGY
![](http://3.bp.blogspot.com/-FewHl6uLwhg/VEe9kKSH4RI/AAAAAAAGsrg/xxO18Gw8QDA/s1600/unnamed.jpg)
Dar es Salaam. Tanzania’s leading interactive mobile communications technology provider, Push Mobile has partnered with Apalya Technologies, South Asia’s leading technology platform provider to enhance mobile video and live TV streaming experience in Tanzania and...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cnpC_2YmAek/VnUUP5e4JqI/AAAAAAADD4A/0W9Ek9K-qEo/s72-c/x.jpg)
KIGOMA UJIJI YAPATA MEYA TOKA ACT Wazalendo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-cnpC_2YmAek/VnUUP5e4JqI/AAAAAAADD4A/0W9Ek9K-qEo/s640/x.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qwU0-3A8Fk8/VnUTUKMHN0I/AAAAAAADD3g/6Gp0HYnnQss/s640/a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3oFQ3B60FMc/VnUUPSC9oJI/AAAAAAADD3w/zWgV326HkVs/s640/e.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tcypMUE14Hk/VnUUO2zmCPI/AAAAAAADD3s/7IFy3A_XzZM/s640/w.jpg)
Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii,Kigoma
BARAZA ...