Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnara wa Mau Mau kuzinduliwa Nairobi

Mnara wa wapiganaji wa Mau Mau walioongoza vita vya uhuru nchini Kenya kuzinduliwa kesho katika bustani ya Uhuru mjini Nairobi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya Mau Mau kuzinduliwa Nairobi

Sanamu ya makumbusho ya kundi lililopigania uhuru nchini Kenya la Mau Mau inatarajiwa kuzinduliwa kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Nairobi.

 

9 years ago

BBC

VIDEO: Mau Mau monument unveiled in Kenya

A UK-funded monument has been unveiled in Nairobi to honour Kenyan freedom fighters.

 

9 years ago

TheCitizen

History as UK funds Mau Mau memorial

A British-funded memorial to the thousands killed, tortured and jailed in the Mau Mau rebellion was unveiled in Kenya on Saturday, in a rare example of former rulers commemorating a colonial uprising.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mau: Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe

Staa wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.

“Utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa akikupa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii wa Leo Wanatuogopa Wakongwe – Mau

MSANII wa filamu na vichekesho Maulid Alli ‘Maufundi’ ametoa kali ya mwaka pale aliposema moja ya sababu kubwa ya yeye na wasanii wakongwe kushiriki filamu chache ni uoga wa wasanii walioigia katika tasnia ya filamu sasa na kupata nafasi ya kutengeneza filamu kisha kusambazwa.

“Ni utani kumweka Simba na Swala katika zizi moja eti Simba kashiba, wasanii sisi wa kitambo kile tuna njaa ya kazi tufanye vizuri watazamaji wetu wafurahi na uwezo wa kuigiza upo, hawa wenzetu wana mitaji sasa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mnara wa damu umesimama

Na Rashid Abdallah Sioni tatizo na wala siogopi kusema kuwa Dr. Ali Mohammed Shein na viongozi wenzake juzi wamezindua mnara wa mauaji ya kimbari ya Wazanzibari wasiokuwa na hatia na tunakaririshwa kuwa tuyaite ‘mapinduzi matukufu’, wakati […]

The post Mnara wa damu umesimama appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Naifananisha CCM na Mnara wa Babeli

Idadi ya waliokuwa watangazania kupitia Chama cha Mapinduzi ilifikia 42. Wengi tulijiuliza je, hii ni demokrasia ya kweli au ni uchu wa madaraka?

 

11 years ago

Mwananchi

Mlinzi Mnara wa Sokoine aliyetelekezwa

“Ni mita 300 kutoka eneo ambalo gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine hadi zilipo nyumba zetu, ulisikia mshindo mkubwa wa ulioashiria kuna ajali imetokea katika Barabara Kuu ya Dodoma-Morogoro eneo la Kijiji cha Luhindo, Kata ya Dakawa siku ya Jumatano, Aprili 12 mwaka 1984 mchana ya saa 7. Kumbe ni ajali iliyosababisha kifo cha kiongozi wetu.”

 

11 years ago

Habarileo

Namibia wataka kujenga mnara wa JK Kongwa

RAIS mstaafu wa Namibia, Sam Nujoma amemwambia Rais Jakaya Kikwete kuwa sherehe za Muungano zimethibitisha Tanzania inao uwezo wa kutosha wa kijeshi wa kukabili shambulio lolote kwa Afrika kutoka nje ya bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani