Mo Music: Nampenda Lulu
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Moshi Katemi maarufu kwa jina la ‘Mo Music’, amesema anatamani kumshirikisha mwigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika muziki wake kwa kuwa anampenda.
Msanii huyo aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’, alisema ametokea kumpenda mrembo huyo kutokana na umahiri wa kazi zake za filamu, maana uwezo wake una tofauti kubwa na waigizaji wengine.
Mo Music aliongeza kwamba huwa ana kawaida ya kutazama filamu za wasanii mbalimbali, lakini za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu
NA THERESIA GASPER
KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.
Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.
“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: King Poza Ft Sultan King — Nampenda
11 years ago
Michuzi10 Jul
Miriam Lulu Chemmoss is embarrassed by her music never stops
![Click Show Images To See The Picture :-)](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/vzmVWkR_PXZb_CZRrU9uwBxKyMaslJQq8C8DWVvJDqcjgx3JDASYte9LpLiydZwRMMdvaNLVDS6XCMaEiUxVQ_t9r4AIkdmM3FexOgjahF2J54MhWsCmeQ=s0-d-e1-ft#http://lulu-fanbridge.s3.amazonaws.com/Lulu-With-Tinton-Groove.jpg)
By Miriam Lulu Chemmoss Hi there! Many years ago, I sort of felt like Brazil during it's 7-1 whopping by Germany during the World Cup. I was hired to sing at a military function in Pentagon City. While singing the national anthem at the opening of the event, a cellphone rang somewhere in the audience and for about 5 seconds (but what felt like an eternity) I froze and forgot the lyrics. I remember looking at the floor and...
9 years ago
Bongo511 Nov
Mo Music apanga kumtumia Lulu kwenye video yake mpya
![mo music](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mo-music-300x194.jpg)
Hitmaker wa Basi Nenda, Mo Music amesema anajipanga kufanya mazungumzo na muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael ili awe mrembo kwenye video yake inayokuja.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa Lulu ni muigizaji mzuri anayeweza kucheza vizuri katika video hiyo.
“Plan zipo za kumtumia, sema bado sijazungumza naye lakini ipo kwenye mpango wa kufanya naye mazunguzo,” amesema Mo.
“Lulu ni muigizaji mzuri sana na pia namkubali kazi zake ndio maana nikaona kama akikaa kwenye project yangu mpya itakuwa...
9 years ago
Bongo517 Dec
Music: Nas Twaa Feat Lulu – Ringa Ringa
![Nas Tatu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Nas-Tatu-300x194.jpg)
Rapper Nas Twaa ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Ringa Ringa”, Amemshirikisha mwanamuzki wakike anaitwa Lulu, Studio Free Nation-Sound.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Nahisi nampenda Prof wangu
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5CRyiDtdCh7-Pmwy-dDyyirrj8Dg2ScUmEvSGMrQGj4IfF5WGwZB-h--sIAazQJQvkg*H9hSaqOkUIG*FGyFQZ/SHAMSA.gif)
MUME: BADO NAMPENDA SHAMSA