Mongella ajitosa vita ya UKAWA, CCM
ALIYEWAHI kuwa Rais wa Bunge la Afrika na Mbunge wa Ukerewe, Getrude Mongella, amesema atahakikisha anaonana na Kiongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
CCM yawatangazia vita UKAWA
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umetangaza vita kwa vyama vya siasa, hususan kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UVCCM imesisitiza kupambana na wajumbe wa...
10 years ago
Mwananchi30 May
Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mwanamke mwingine ajitosa urais CCM
IDADI ya wagombea wanaochukua fomu kwa ajili ya kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana walifikia 39 baada ya mwanachama wake, Ritha Ngowi kuchukua fomu.
10 years ago
Habarileo08 Jun
Dk Mwele Malecela ajitosa urais CCM
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.
10 years ago
Mtanzania21 May
Amina Salum Ali ajitosa urais CCM
Na Esther Mbussi, Dar es Salaam
MBIO za kuwani urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeanza kushika kasi,baada ya mwanasiasa mkongwe Amina Salum Ali kutangaza rasmi kugombea urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba,mwaka huu.
Amina ambaye alikuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), nchini Marekani anakuwa mwana CCM na mwanamke wa kwanza kutangaza azma yake hadharani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Amina alitoa vipaumbele vyake...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wassira ajitosa kuvunja makundi CCM Arusha
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu ), Stephen Wasira amesema yupo tayari kuvunja makundi ya kudumu, yanayoonekana kuwapo baina ya Mbunge wa zamani wa Jimbo Arusha Mjini kupitia CCM, Felix Mrema na Batilda Burian, aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo hilo, lakini hakufanikiwa.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-kx4EqKeMKJ8/VYkQM_rWFNI/AAAAAAAAfys/_29z5uP5VM0/s72-c/1.png)
Urais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-kx4EqKeMKJ8/VYkQM_rWFNI/AAAAAAAAfys/_29z5uP5VM0/s640/1.png)
Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.
Kingine atakachofanya ni kuendeleza mazuri yaliyofanywa na marais waliopita, lakini zaidi akiweka mkazo kwenye masuala ya elimu na kukuza...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi CCM Bayi, ajitosa kuwania ubunge
![](http://2.bp.blogspot.com/--a_EwPhEwh8/VbOthfg-LqI/AAAAAAAAPPY/z1cHp_3WDaY/s640/20150725_103336-1.jpg)
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi wa CCM wilaya ya Bahi, Hebron Kipiko (Mr.Kipiko) katika picha
Mlezi wa Jumuiya ya wazazi wa CCM wilaya ya bahi Hebron Kipiko (Mr.Kipiko) ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Bahi lililopo mkoani Dodoma na kusema kuwa anaamini anauwezo wa kutekeleza kero na matatizo mbalimbali ya nao wakabili wananachi wa jimbo hilo.
Akizungumza na Libeneke la kaskazini blog , amesema kuwa ameona mambo mengi na matatizo mengi yanayo wakabili wananchi wa jimbo...