Moshi wapanga kutumia Sh57 bilioni 2014/15
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, imekusudia kutumia Sh57.35 bilioni katika Mwaka wa Fedha 2014/15 kwa ajili ya shughuli za maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YATARAJIA KUTUMIA SHILINGI BILIONI 955.934 KATIKA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
11 years ago
Mwananchi02 Jul
BRAZIL 2014: Nyota wa Cameroon wapanga matokeo
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Bumbuli kutumia Sh24 bilioni
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5p3pck-g_Fg/U4OCv9ciW1I/AAAAAAACiNs/vdhOXcK49p4/s72-c/unnamed+(2).jpg)
COMPASSION KUTUMIA BILIONI 41.8 KWA MIRADI
![](http://4.bp.blogspot.com/-5p3pck-g_Fg/U4OCv9ciW1I/AAAAAAACiNs/vdhOXcK49p4/s1600/unnamed+(2).jpg)
Na Denis Mlowe,Iringa.
SHIRIKA la kimataifa la Compassion linalofanya kazi na madhehebu ya Kikristo nchini linatarajia kutumia zaidi ya sh. Bilioni 41.8 hadi Juni mwaka huu katika kutekeleza miradi yake ikiwemo kuwasomesha wanafunzi 70,087 wanaosoma shule na vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8OwwPQAVC2w/Vl7i3U7elBI/AAAAAAAIJxg/QnlHQDoAOT8/s72-c/mbando-august22-2014.jpg)
SERIKALI KUTUMIA TSH. BILIONI 5 KUHUDUMIA KAMBI ZA MADAKTARI BINGWA WA MOYO
![](http://2.bp.blogspot.com/-8OwwPQAVC2w/Vl7i3U7elBI/AAAAAAAIJxg/QnlHQDoAOT8/s320/mbando-august22-2014.jpg)
Lengo la mkakati huo ni kuhakikisha Wagonjwa wengi wanahudumiwa katika kipindi kifupi pamoja na kupunguza gharama za kusafirisha wagonjwa nje ya nchi, ambao wengi wao husafiri kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya moyo, figo na...
10 years ago
Michuzi02 Jan
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) KUTUMIA BILIONI 293 KUANDIKISHA WAPIGA KURA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/1.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/2.jpg)
NA CHALILA KIBUDA ,GLOBU YA JAMII DAR
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.
Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...