Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto kuwaka kikao cha Kamati ya Bajeti

Moto wa mjadala wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 sasa unahamia katika kikao cha ndani cha mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti kitakachofanyika kwa siku sita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WA WIZARA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wizara iliwasilisha katika kikao hicho Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/21. Katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Salim Mwinyi Rehani, na kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Ramadhani Abdalla. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

GPL

UPDATES KUTOKA DODOMA: KAMATI YA MAADILI YAMALIZA KAZI YAKE, SASA KINAFUATA KIKAO CHA KAMATI KUU (CC)

Kamati ya Usalama na Maadili tayari imemaliza kikao chake. Kamati Kuu itaanza kikao chake saa 10 jioni

 

5 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikao cha Bajeti ya Zanzibar leo

 Kikao cha majadiliano ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2014/2015 kitaaza leo katika Baraza la Wawakilishi kisiwani hapa, miswada miwili ya sheria itawasilishwa na kujadiliwa.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza  jumanne 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. Picha na Owen Mwandumbya

 

10 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KIKAO CHA DHARULA CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR

  Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharula jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015. Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani