Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPAMBANO WA NGUMI WA KUFUNGUA MWAKA 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick  Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpambano mkali wa ngumi: Matumla Jr vs Wang Xiu Hua leo usiku Diamond Jubilee

Promota Jay Msangi

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ (katikati) akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China ‘kushoto’  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana.

..Modewji blog itakuletea kila kinachojiri huko kwenye pambano hilo la kihistoria

Ule mpambano wa ngumi wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa Ngumi nchini ambao utakao wakutanisha  bondia anayetoka kwenye familia ya mchezo huo wa ngumi Nchini, Bondia Mohamed Matumla Junior akitarajiwa kupanda...

 

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA MASUMBWI KUFANYIKA 28/3/2015

Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisarawe kutoka 'Ndame Club' na Saidi Uwezo kutoka 'Mzazi GYM' watapanda uringoni march 28 kugombania ubingwa wa taifa wa kg 54 katika ukumbi wa manyara park uliopo CCM Tandale Manzese mpambano uho wa raundi kumi wenye upinzani wa hali ya juu utasindikizwa na mabondia mbalimbali kutoka katika kambi tofauti

ambapo bondia Ibrahimu Tamba atapambana na George Dimoso na Vicent Mbilinyo kutoka kwa 'Super D Boxing Coach' atapambana na Yusufu Mkari na kasimu Gamboo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shindano la TMT 2015 lazinduliwa rasmi leo, Mwanza kufungua pazia tarehe 24 April 2015.

Afisa Masoko na Mahusiano wa Proin Promotions Ltd, Josephat Lukaza akizungumzia Uzinduzi wa msimu wa pili wa Shindano la TMT 2015 lililopo chini ya Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao pia ni wasambazaji, wauzaji na watengenezaji wa filamu za Kitanzania. Anayeshuhudia pembeni ni Mratibu wa Masoko wa ITV/Radio One ambao ni mmoja wa wadhamini wa Shindano la TMT 2015.   Mratibu wa masoko kutoka ITV/Radio One (wa pili kulia) akizungumzia juu ya umuhimu wa wao ITV/Radio one kuwa washirika wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA XMASI NA MWAKA MPYA

Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila...

 

9 years ago

Global Publishers

Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live

Ali Choki - Twanga_6 Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Ali Choki -Twanga_5Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani