Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPAMBANO WA NGUMI WA KUFUNGULIA NMWAKA 2015


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Dewji Blog

Ngumi za kufungulia mwaka kupigwa ndani ya ukumbi wa Friends Corner Manzese Januari 2!!

super d boxing promotion

 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Mabondia  Selemani Galile ‘Selemani Toll’  na  Zumba Kukwe wanatarajia kuzidunda mwanzoni mwa mwezi ujao katika mpambano wa kufungulia mwaka 2016 kg 75. Mpambano utakaofanyika  January 2/2016  ndani ya ukumbi wa Friends Corner, Manzese.

Mpambano huo ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wao wa kwanza miaka mitatu  nyuma kutoka droo ambapo kila bondia amejigamba kumsambaratisha mwenzie

Akizungumza na waandishi wa habari mratibu wa mpambano  huo, Rajabu...

 

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick  Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpambano mkali wa ngumi: Matumla Jr vs Wang Xiu Hua leo usiku Diamond Jubilee

Promota Jay Msangi

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi ‘Jiwe Gumu’ (katikati) akiwainua mikono juu Wang Xin Hua kutoka China ‘kushoto’  na Mohamedi Matumla baada ya kupima uzito jana.

..Modewji blog itakuletea kila kinachojiri huko kwenye pambano hilo la kihistoria

Ule mpambano wa ngumi wa kukata na shoka unaosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa Ngumi nchini ambao utakao wakutanisha  bondia anayetoka kwenye familia ya mchezo huo wa ngumi Nchini, Bondia Mohamed Matumla Junior akitarajiwa kupanda...

 

10 years ago

Vijimambo

MPAMBANO WA MASUMBWI KUFANYIKA 28/3/2015

Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisarawe kutoka 'Ndame Club' na Saidi Uwezo kutoka 'Mzazi GYM' watapanda uringoni march 28 kugombania ubingwa wa taifa wa kg 54 katika ukumbi wa manyara park uliopo CCM Tandale Manzese mpambano uho wa raundi kumi wenye upinzani wa hali ya juu utasindikizwa na mabondia mbalimbali kutoka katika kambi tofauti

ambapo bondia Ibrahimu Tamba atapambana na George Dimoso na Vicent Mbilinyo kutoka kwa 'Super D Boxing Coach' atapambana na Yusufu Mkari na kasimu Gamboo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Timu ya ngumi Tanzania 2015, yatajwa.

Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) limechagua wachezaji wa timu ya Taifa ya Ngumi 2015.

 

10 years ago

Michuzi

NGUMI KUPIGWA JANUARY 2, 2015 IFAKARA KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO

Na Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka unatarajiwa kupigwa Ifakara mkoa wa Morogoro  kuhamasisha na kukuza mchezo wa masumbwi nchini. promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka aendeleze mchezo wa masumbwi Ifakara kwa kuwa watu wapo na mchezo unapendwa.
Alisema siku hiyo ya January 2. 2015 itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye huku Saleh Makuka akipambanma na Said Chamaki
Aliongezea pia...

 

10 years ago

Bongo5

Benki hii maarufu inaruhusu selfie kufungulia akaunti!

Kwa benki ya Lloyds huhitaji hadi kwenda kupiga picha ya passport ili kufungulia akaunti – selfie inatosha. Wateja wa benki maarufu duniani, Lloyds ya nchini Uingereza, hivi karibuni wataanza kufungua akaunti zao kwa kutuma tu picha walizopiga kutumia simu au tablet zao. Picha hizo zinatakiwa kwenda sambamba na copy ya hati ya kusafiria au leseni […]

 

11 years ago

GPL

HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo.

Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani