Mpango wa kutega mabomu watibuliwa Kenya
Wanaume watatu wamakamatwa mjini Nairobi nchini Kenya baada ya mtu mmoja kuzuiwa wakati anajaribu kuingia katika jengo la maduka akiwa na kifaa cha kilipuzi katika mkoba wake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA
10 years ago
Michuzi20 Jan
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI NAIROBI, KENYA






JESHI la polisi nchini Kenya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wa Shule ya Msingi Lang'ata iliyopo jijini Nairobi walioandamana kupinga kitendo cha kunyang'anywa uwanja wao wa michezo uliouzwa kwa mwekezaji...
10 years ago
GPL
POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA MAANDAMANO YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NCHINI KENYA
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Victoria: Sina mpango na wanaume wa Kenya
NAIROBI, KENYA
MSANII wa muziki nchini Kenya, Victoria Kimani, amesema hana mpango wa kuolewa na wanaume wa nchini Kenya kwa kuwa hawajui kukaa na wapenzi wao.
Mrembo huyo amesema wanaume wengi wa nchini humo wamekuwa tofauti na wale wa nchini Nigeria, hivyo ni bora aelekee huko kwa ajili ya kupata mwanaume bora ambaye atadumu naye.
Msanii huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika muziki mara baada ya kusaini mkataba mpya katika kampuni ya kusimamia kazi zake ijulikanayo kwa jina la...
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mpango wa miradi ya kitafiti waanzishwa Kenya
10 years ago
VijimamboMBEYA YAZINDUA MPANGO WA MAREKEBISHO YA TABIA NA MPANGO WA UTOAJI MSAADA WA SHERIA
5 years ago
Michuzi
DKT. MPANGO AWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA



9 years ago
Dewji Blog19 Nov
PSPF, NHIF wazindua mpango wa matibabu kwa wanachama wa mfuko huo walio kwenye mpango wa PSS

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meenja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa Sembe, (wakwanza kushoto) na maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, (kulia walosimama), wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayinhu, (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, wakitia saini makubaliano ambayo yatawezesha...
9 years ago
Michuzi
PSPF,NHIF WAZINDUA MPANGO WA MATIBABU KWA WANACHAMA WA MFUKO HUO WALIO KWENYE MPANGO WA PSS
