Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA

Stori: Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa. Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia. Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mpango wa kutega mabomu watibuliwa Kenya

Wanaume watatu wamakamatwa mjini Nairobi nchini Kenya baada ya mtu mmoja kuzuiwa wakati anajaribu kuingia katika jengo la maduka akiwa na kifaa cha kilipuzi katika mkoba wake.

 

9 years ago

GPL

UCHUMBA WA WASTARA WAVUNJIKA

Uchumba wa mastaa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma na Bond Bin Suleiman ambao ulikuwa umepamba moto huku hivi karibuni ikidaiwa wataoana baada ya uchaguzi, umevunjika baada ya Wastara kusalitiwa.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1PKsvfy

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE...

Na  Waandishi Wetu
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni Mkongomani, Risasi Jumamosi limedondokewa na ‘kismati’. Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Katika mahojiano ‘spesho’ na gazeti hili...

 

11 years ago

BBCSwahili

McIlroy avunja uchumba na Wozniacki.

Mchezaji gofu Rory McIlroy amevunja uchumba na mchezaji tenis Caroline Wozniacki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu: 70% wanaishi uchumba sugu

ASKOFU msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Eusebius Nzigirwa amesema kuwa asilimia 70 za ndoa zinazofungwa, maharusi wanakuwa tayari wameishi unyumba muda mrefu, jambo alilodai ni kinyume...

 

9 years ago

Bongo Movies

Uchumba wa Jack Wolper Wavunjika

ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily akitajwa, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.

Wolper alivalishwa pete ya uchumba kwa mbwembwe katika hoteli moja moja maarufu jijini Dar ambapo mwanaume huyo raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo aliahidi kumuoa hivi karibuni huku akijiweka karibu na...

 

9 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo...

 

11 years ago

GPL

UCHUMBA WA RECHO, SAGUDA WASENGENYWA!

Stori: Brighton Masalu
UCHUMBA wa muda mrefu kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ na Saguda George ‘Polite’ umeanza kusengenywa na baadhi ya wadau wakidai umekuwa wa muda mrefu bila kuwepo kwa dalili yoyote ya kuoana. Rachel Haule ‘Recho’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, mmoja wa rafiki wa Recho ambaye pia ni msanii wa filamu (jina tunalo) alisema wasanii wenzake...

 

11 years ago

GPL

UCHUMBA WA NAY WA MITEGO CHALI

Na Musa Mateja
UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika. Nay akiwa na mpenzi wake Siwema. Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika nyakati tofauti. Chanzo hicho kimeeleza kuwa, wawili hao walimwagana tangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani